Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

nakushauri chapa lapa tu.....if a man has never loved a woman...then he shall never ever love her....iyo ndio principle....huna mapennz naye na hakuna siku yatakuja......ungekuwa mwanamke sawa...nimemaliza
 
Mkuu usipate tabu nipe mimi uyo mwanamke nimchukue mazima, cha kufanya nipm tu namba yake mengine niachie mimi. Na ninakuhakikishia ndani ya siku mbili atakuja kukuacha yeye mwenyewe. Sijisifii ila kwenye sekta ya kutongoza wanawake nipo vizuri sana natongoza mpaka mwanamke analia, kamasi zinatoka akitoka hapo anaenda chooni kuharisha.

"Typed with my thumbs."
You should be a professor of women affairs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pamoja na kwamba humpendi huyo mwanamke ila utakuja kumpenda na kumkumbuka sana siku ukipata mwanamke mwingine na atakuwa akijurudiarudia akilini mwako kwa kuwa hakukutenda ubaya.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom