NIKUSAIDIE majukumu wewe si humtaki....unampotezea muda...Ili kiwe nn
akili zako kumbe sio nzuri sasa humu story yako umeileta ili tukusaidie nini...?hata kama cmtaki kwann nikupe number?
You should be a professor of women affairsMkuu usipate tabu nipe mimi uyo mwanamke nimchukue mazima, cha kufanya nipm tu namba yake mengine niachie mimi. Na ninakuhakikishia ndani ya siku mbili atakuja kukuacha yeye mwenyewe. Sijisifii ila kwenye sekta ya kutongoza wanawake nipo vizuri sana natongoza mpaka mwanamke analia, kamasi zinatoka akitoka hapo anaenda chooni kuharisha.
"Typed with my thumbs."