hawezi kuacha ukaribu nae maana anapata papuchi ya bureAnza kupunguza ukaribu, uwe busy kila akikupigia wewe una kazi lakini ahidi kumtafuta ukiwa free, ikipita mwezi mmoja miwili ataelewa somo.
NB: the law of life your time will come, you will fall in love with a person who doesn’t have feelings for you. That’s the way it’s.
Wacha upuuzi tulia nae ndugu yangu, penda unapopendwa, kama umetafuta vijisababu vya kutompenda unaweza pia kutafuta sababu za kumpenda, usijaribu kuumiza hisia zake, kama mimi binafsi ningetulia nae mtu ananijali, ananithamini, ananiheshimu nasaka nini sasa labda nipewe gunia la miiba. Kuna wanawake ni wakuolewa na wapo wa kut0.Mbwa tu, sasa naona mke wa kuoa unataka umfanyie miyeyusho utakuja juta utakapopata wakut0.mbwa kuwa mkeo, kama yamekuingia vyema yafanyie kazi kila la kheri mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Ulikwichi nae hukojoi? au unafukiri Utapata atakayekufanya ukojoe zaidi? make sifa za msingi anazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu kipo sawa mkuu, The trouble is what I have put there!!
Sawa mkuu, mekupata!!!
That's MATURITY, congrats.I had to respect his decision.
Mmepishana miaka mingapi kama unamwacha na umempotezea mda wake kuna gharama na majutoPia hicho kitu nawaza sana mkuu! madem wa sasa hivi %kubwa wapo kimaslahi mno nahofia kutompata kama huyu ambaye ntampenda.
Haswaa hilo ndilo alihitajilo mwanaume anaye jitambua, mwanaume mwenye uwezo wa kupambanua mambo kifalisafa zaid(creative thinking, nahisi imetumika hapa),Hakuna raha kama kujaliwa, kuheshimiwa na kuthaminiwa. Na hizo ndio dalili hasa kupendwa kwa dhati.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaa hilo ndilo alihitajilo mwanaume anaye jitambua, mwanaume mwenye uwezo wa kupambanua mambo kifalisafa zaid(creative thinking, nahisi imetumika hapa),
Broh sijui una miaka mingapi, ila kiufupi ungalikua karibu ningali kuhitaji uagizie kinywaji chochote ukipendacho ningelipa,
Nikwasababu umetoa hoja za kistaarabu na busara kabisa, safi sana kabisa maana nimefuatilia replays zako hii ya pili na nime notce kitu cha utofauti, iwapo kijana huyu hajakuelewa basi atakua ni mvulana, kama sio mvulana basi ana tatizo la mob psychology kutoka kwa marafiki uchwara√√