Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Messages
15,498
Likes
22,118
Points
280
witnessj

witnessj

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2015
15,498 22,118 280
Nimewahi kupata mwanamke wa aina hiyo mkuu alinipenda kupitiliza na alikua mzuri tu lakini kumtongoza ilitokana na ubishani haikua dhamira yangu, washkaji walisema simuwezi nikafanya kweli.

Basi bana nikawa simpendi kivile tukakaa mwaka na zaidi mtoto upendo haupungui akaja kunifuma na demu mwingine room akanisamehe kwamba hata wakiwa 10 as long na yeye nampa mda wa kuwa na mimi alikua okay na hilo just imagine??.
Badae nikamuacha alikonda sana akaumwa sana and i didn't care shepu ikaisha yani nikatafutwa na ndugu zake maana ilikua ishu kubwa sana. Nikapata mtoto mkali sana nikampenda sana sijawahi kupenda hivyo maisha yangu yote nikaona hapa ndo penyewe, tukaenda kama miezi 8 siku moja nikamuona na mwanaume nikaja kumuuliza nilikuona na jamaa ni nani aisee alinijibu bila aibu eti my Boyfriend.
Nikaja kujuana na huyo jamaa asee niliumia sana ilichukua 4years kumsahau yule dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaaaahaaaaaaa...simple and clear eti "my boyfriend"

Mapenzi ni ungese walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ismoo

Ismoo

Member
Joined
Apr 18, 2018
Messages
27
Likes
10
Points
5
Ismoo

Ismoo

Member
Joined Apr 18, 2018
27 10 5
Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..

LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..

Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_

2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_

3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia

4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke

SHIDA NI NINI_

Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa

SABABU NI NINI_

Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...

So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...

Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'
Tamaa hizi zina tupeleka pabaya sana dada wa watu ata jisikiaje hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noah de voxser

Noah de voxser

Senior Member
Joined
Aug 14, 2017
Messages
192
Likes
132
Points
60
Noah de voxser

Noah de voxser

Senior Member
Joined Aug 14, 2017
192 132 60
Brother angalia wenzio tunawalilia kuwapata
any way maamuz yako
omba mungu utakae mpata afanye kama yeye ikiwa tofauti UTALETA UZI UMU JF KUWALAUMU WANAWAKE
dont be lazy sio lazma umzid mku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extra miles

Extra miles

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Messages
503
Likes
303
Points
80
Extra miles

Extra miles

JF-Expert Member
Joined Apr 18, 2018
503 303 80
Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..

LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..

Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_

2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_

3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia

4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke

SHIDA NI NINI_

Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa

SABABU NI NINI_

Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...

So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...

Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'
Hii stori haina tofauti na yanayonitokea ila kwangu ni more complicated kwa vile ninayempenda ananipenda sana na huyu nlie nae ananipenda sana pia ila hisia na upendo vipo Kwa wa kwanza. Na wote ni wife material(hawaombi hela , wanajali kupita maelezo na wamenizidi upendo wangu kwao).
 
M

mabaibo

Senior Member
Joined
Sep 23, 2018
Messages
129
Likes
112
Points
60
M

mabaibo

Senior Member
Joined Sep 23, 2018
129 112 60
Mkuu usipate tabu nipe mimi uyo mwanamke nimchukue mazima, cha kufanya nipm tu namba yake mengine niachie mimi. Na ninakuhakikishia ndani ya siku mbili atakuja kukuacha yeye mwenyewe. Sijisifii ila kwenye sekta ya kutongoza wanawake nipo vizuri sana natongoza mpaka mwanamke analia, kamasi zinatoka akitoka hapo anaenda chooni kuharisha.

"Typed with my thumbs."
Aiseee umeniwai nilitaka kumpa jibu hilohilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
C

Computer mpakato

Member
Joined
Jan 18, 2019
Messages
59
Likes
26
Points
25
C

Computer mpakato

Member
Joined Jan 18, 2019
59 26 25
Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..

LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..

Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini chakushangaza ni kwamba akanikubalia tu bila kujua sikua serious... nikaona isiwetabu nikawa nae kwenye mahusiano mpaka wakati huu naandika hii thread ndo mpenzi wangu actually pamoja na kwamba michepuko ipo lakini yeye ndo amekua currently kwa sababu
1)Hajawahi kuniomba pesa ingawa me ndo nikiwa nakipengele nikimwambia nashida na pesa huwa ananipa bila kinyongo_

2)Hana michepuko hii ni kwasababu naweza kukaa nasimu yake hata siku 3 na nisigundue chochote licha ya yeye kukuta sana sms za michepuko kwenye simu yangu_

3)She care about me
yani nikimwambia siko poa au naumwa yupo tayari kuacha kazi zake zote nakuja kunihudumia

4)Ni mtam yani papuchi ake hua ananipa muda wowote kiukwel hua naenjoy sana mapenzi yke

SHIDA NI NINI_

Shida ni kwamba pamoja na hayo yote ni kwamba nafsi yangu haijaridhia na wala sidhani kama naweza kumuoa yeye... Yani am sure ananipenda sana but kwa kweli cfikilii kumuoa yeye kabisa

SABABU NI NINI_

Sababu ni kwamba amenizidi umri, chapili ni kwamba amenizidi urefu kitu ambacho sijakipenda kwa kweli
chatatu ni kwamba simpendi tu alivyo...

So nimekua nikiwaza sana jinsi ya kumuacha' yan namuonea sana huruma kwa kua yeye anafikili me ndo mwanaume wake wa maisha' kitu ambacho hakipo kabisa kwenye akili yngu...

Naombeni ushauli ndugu zangu' nitumie mbinu gani kumuacha huyu bidada mana kwa umli wake sasa hivi anahitaji ndoa~~ while binafsi kuoa sio leo wala kesho,, na hata nikitaka kuoa siwezi kumuoa yeye'
Hahahaaaa! Amekuzidi vingi sana,,,,umri,kimo,upendo,huruma kujiamini na hata uvumilivu. Wanawake wengi hawapendi kutembea au kuolewa na Zakayo. Huyo mwanamke kakupenda, mwoe halafu fanya mazoezi ya kumpenda.Umri ni namba tu mkuu
 
King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Messages
812
Likes
802
Points
180
King Elly

King Elly

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2013
812 802 180
Girl friend tafuta mzuri lakini tafuta mke anae kuelewa.[/QUOTE]

Status yangu ya kesho hii WhatsApp
 
Forum statistics

Threads 1,273,633
Members 490,467
Posts 30,487,100