KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Kwako Mh Rais, Huyu mdada kupitia kipindi cha "Mimi na tanzania", anajitoa kuihabarisha dunia madhila yanayowakabili binadamu wenzetu.
Huyu mdada nilishamwona akimkamata mlemavu,mwenye magonjwa ya ngozi, mgonjwa wa viungo etc kwa moyo mkunjufu kabisa, kiasi kwamba, mimi ninayeangalia tv, nasisimka, mpaka najiuliza ana roho gani huyu mdada.
Mh Rais, iwapo itakupendeza, namwombea huyu mdada uteuzi wa viti maalumu bungeni na ikikupendeza, mtunuku wizara ya maendeleo watoto na jinsia mh.
Wako katika ujenzi wa taifa
KJ.