Namwagiza Anna Makinda Kufunga Bunge Sasa Hivi, Haraka sana

duh safi sana gurudumu.
hii post ingewekwa kwenye gazeti lingemfikia kabisa huyu mama.
kwa kipindi hichi huwa wanapenda sana kusoma magazeti ili waangalie madudu waliyofanya na wananchi wana sema nini.
 
Hivi ni nini kinatakiwa kitokee ndo serikali wajue kwamba wananchi wamechoka? Ili wajue kwamba wananchi wanaujua ukweli hawataki propaganda za uongo?

Nikujitoa mhanga kama walivyofanya Tunisia na Misri there is no any other way!!Ila swali ni how bado tu waoga sana kaka
 
duh safi sana gurudumu.
hii post ingewekwa kwenye gazeti lingemfikia kabisa huyu mama.
kwa kipindi hichi huwa wanapenda sana kusoma magazeti ili waangalie madudu waliyofanya na wananchi wana sema nini.

Naruhusu mwandishi wa habari anayetaka kuichapisha afanye hivyo tu, ni kweli nataka bunge lifungwe wanapoteza muda na kutia aibu
 
Anna Makinda juhudi za kinazi alizoingiz nazo bungeni ambazo ni ushauri aliopewa na CCM kudhibiti ukweli utamtokea puani. Siku likimfika la kumfika na huyo mnafiki mwingine Ndugai marafiki wooote waliomshauri ujinga watamkana kama petro na Bwana yesu.

Ninapata hasira ninapoona watu tuliowapa dhamana wanaamua kuwafokea wabunge kama watoto na kuwapiga mkwara mbuzi ambao nafikiri Makinda asipokuwa makini bunge la wakati huu litakuwa la ngumi mkononi na kupaisha viti kama Kenya ,Korea ya kusini na Somalia. Apunguze munkari la sivyo hatamaliza five years anatupa hasira mbaya sana sana na uchungu mno mno.

Hapo kwenye rangi.
Siku anatangazwa kuwa mshindi nilikuwa MORO kwenye Internet, palikuwa na dada mmoja akasema hampendi huyo mama kwani ana hasira sana!! Sikumuelewa sasa nimemuelewa.
Nadhani mabadiliko yanahitajika.
 
SPEAKER - ANNE MAKINDA - anatia aibu - anadhania kuongoza bunge in UKALI - UPENDELEO - MABAVU - amekosea sana kujipanga

ameaibisha wanawake waadilifu wote wa Kitanzania - ameaibisha watu wa familia yake - kwanza anahodhi sana mali huyu mama - no wonder kile kiwanja chake pale nanihii ........... kina miaka zaidi ya mitano hakijengi................. ningekuwa na hela ningejenga - subiri .......... nitamsemea kwa MAGUFULI/ or NO ...... nitamwambia Mbunge machachari bungeni ...........:Lady Halima Mdee
 
duh safi sana gurudumu.
hii post ingewekwa kwenye gazeti lingemfikia kabisa huyu mama.
kwa kipindi hichi huwa wanapenda sana kusoma magazeti ili waangalie madudu waliyofanya na wananchi wana sema nini.

Najua barua yangu imeshamfikia Spika, ningefurahi sana kama angetekeleza mara moja. I cannot imagine wiki ijayo tena wataendelea na huo mchezo wa kuigiza unaotupotezea pesa zetu

najua kuna wanaofaidi sana na bunge kukaa, na mmoja wao alianzisha post kwamba nipewe ban hadi bunge liishe, lakini nasikia uchungu na pesa zangu. sioni tija yoyote!!
 
hold your horses brother, wako bize wanakula hawana muda wa kusoma barua yako
 
Anna Makinda asiahirishe bunge bali awatangazie waende nyumbani. Wanafanya nini hapo dodoma cha maana?
 
tupe vithibitisho kuwa aliyosema waziri mkuu ni uongo?una kazi wewe mwanaume?:laugh::laugh:

Tafadhali kasome majibu ya Mheshimiwa Lema katika gazeti la Raia Mwema mtandaoni. Kama hutaelewa basi wapo watakaokusadia, la muhimu uliza wapi hukuelewa?
 
Inasikitisha mno kuona bunge limekuwa la kisanii lisilo address matatizo yanayowasumbua wantanzania katika kila kona. i wish ingewezekana hivyo.
 
Mpaka sasa wanajadili hotuba ya rais!! kila anaesimama kutoka ccm anatao vijembe na kukisifia chama na rais at last anaunga mkono hoja .
 
Hujui kama kesi imeahirishwa polisi wanatafuta ushahidi ??? sasa huyo PM katoa wapi hiyo conclusion kama Mhe. Hakimu bado anasikiliza hiyo kesi ?

Ya Dowans, Makinda na bunge la CCM hawana haja nayo, ya Arusha na CHADEMA wanayatolea maamuzi bungeni na wanataka ripot ya maandishi hawaiachii mahakama!

Ukishangaa ya Musa, utaona ya Firauni
 
Inasikitisha mno kuona bunge limekuwa la kisanii lisilo address matatizo yanayowasumbua wantanzania katika kila kona. i wish ingewezekana hivyo.

Tatizo langu kubwa ni kwamba, nashindwa kutofautisha mijadala ya wabunge huko bungeni na mijadala ya wananchi ninayoisikia kwenye TV na radio kila siku. Na kwa hiyo najiuliza wanataka kutuonesha umahiri wao wa kujadili matatizo yetu au wanatakiwa kutuonesha ni namna gani wameweza kuwajibisha serikali na matatizo yetu yakaisha.

Wanavyozidi kujadili ndivyo matatizo yetu yanavyoongezeka, na kwa hivyo najiuliza kama bunge ndiyo chombo sahihi cha kuwajibisha serikali na kututatulia matatizo yetu
 
Hatimaye sasa Bunge linaahirishwa sasa asubuhi hii, sasa hivi Pinda anasoma hotuba yake.

What have they achieved kwa muda wa wiki mbili walipokaa hapo dodoma?
 
Je, kuna la maana limejadiliwa na kutafutiwa ufumbuzi na kikao cha bunge kinachoendelea. Kwa mfano report ya CAG ndio imeshatoka hivyo, kuwasilisha, kujadili kisanii, na kuwaacha wezi wakiendelea kutuibia na kufuja pesa zetu. Na bunge nalo linafuja pesa zetu kwa kukaa vikao visivyo na tija kwetu wananchi
 
Back
Top Bottom