Namuulizia Regina Mengi je ameolewa?

Najua unamaanisha mteremko. Lakini nina swali; hivi pale kitonga mnaonaga mteremko tu hakuna mlima?
Hivi mlima ni kinyume cha mteremko, sio mpando? Kinyume cha mlima sio bonde? Kwani hata kwenye bonde kuna mteremko na mpando.
 
Back
Top Bottom