Hajaolewa but ana mpenziKwa mnaomjua tafadhali huyu bibie ni mpole sana anavyoonekana mstaarab na muungwana pia...
[/QUOT
ndege JOHN huyu huyu au mwingine wa Marangu?Hajaolewa Ila ana mchumba wake fulani anaitwa ndege JOHN.
Najua unamaanisha mteremko. Lakini nina swali; hivi pale kitonga mnaonaga mteremko tu hakuna mlima?Unataka Kitonga
Na hauna tiba!Uoga ni kitu/ugonjwa m-baya sana wallah...