Namuulizia Regina Mengi je ameolewa?

Kama kuna kitu ninakichukia ni kumezea mate mkate ulio dirishani kwenye kioo. Kumbe ni mtu kuingia dukani kuuliza tu kama huu mkate unauzwa au vipi. Basi mtokee kama tunavyo watokezea mabinti wengine tu. Mpe nasaha zake akusikilizie. Nadhani swali zuri ungeuliza ka kuna mtu anaifahamu ofisi yake tu ukamwone mwenyewe. Kwanza ushasema kuwa ni mpole sana. Woga wa nini au domo zege??
 
reg..regg.. Reginaaa Zanzibaar!

Regina yuko humu na nimeona AME comments
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom