Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,745
- 5,446
Sio kazi yako kuniuliza hayo maswali.Ukishajua anaendeleaje then what ww ndugu zako wote unajua wanaendeleaje?
Hata picha yake hakuna?Anahela balaa ,anajilimia mashamba yake mbogamboga na matunda....alijiongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupi?Siku zote najuaga uyu demu mmewe ni yule kocha msaidizi wa gongowazi a.k.a Utopolo FC
Sent using Jamii Forums mobile app
Akisoma llb udsm huyuIrene Msokwa baada ya kuolewa.
Hapo ITV alikuwa anatumia jina la Irene Malonga!