Namuuliza RPC TIBAIGANA ni huku ni kufulia asubuhi au ndo POLISI Shilikishi?

Kenge (Eng)

JF-Expert Member
Dec 7, 2006
543
156
Amini usiamini afande Tibaigana ni Suka anasanya route ya Muleba - Biharamuro na kigari chake aina ya NOAH. Nimeshuhudia mwenyewe ila kidogo inamwia vigumu pale akiingia kituoni/standi kwani anampa konda. Jk ndo tuseme Polisi unawaruhusu waporomoke na ni funzo lipi kwa jamii ya kipolisi, sio huyu tu!!!
 
Haiwezekani maana alikusanya sana mirushwa kabla ya kustaafu, labda kama Tibaijuka kamfilisi kwenye kura za maoni! Wakomage kupenda kugombea chama cha kuwafilisi(rushwa)
Amini usiamini afande Tibaigana ni Suka anasanya route ya Muleba - Biharamuro na kigari chake aina ya NOAH. Nimeshuhudia mwenyewe ila kidogo inamwia vigumu pale akiingia kituoni/standi kwani anampa konda. Jk ndo tuseme Polisi unawaruhusu waporomoke na ni funzo lipi kwa jamii ya kipolisi, sio huyu tu!!!
 
jamaa alipiga sana fedha, sidhani kama ni kweli, basi kama ni kweli basi anaficha kwa sasa lakini ana fedha huyo
 
Amini usiamini afande Tibaigana ni Suka anasanya route ya Muleba - Biharamuro na kigari chake aina ya NOAH. Nimeshuhudia mwenyewe ila kidogo inamwia vigumu pale akiingia kituoni/standi kwani anampa konda. Jk ndo tuseme Polisi unawaruhusu waporomoke na ni funzo lipi kwa jamii ya kipolisi, sio huyu tu!!!
naamini anafanya hivyo just kujikeep fit, wastaafu wengi wakirelax, wana depreciate mapema.
 
Ni kweli inawezekana akawa anazuga kwani hana haraka na ana maneno ya mizaa sana akiwa kwenye usukani mpaka abiria wanasema wee mzee endesha acha kuhubiri. Wanamwimiza kuongeza kasi. Majibu ni kuwa itakuwa aibu kusikika mzee kapata ajali. Amini usiamini yupo barabarani.
 
Kwani hiyo si kazi? Mijitu mingine bwana, mlitaka aje kuwaomba fegi?
 
Back
Top Bottom