NAMUTUMBA, UGANDA; Mwanamke ajifungua watoto watano

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
latest03pix.jpg

Mwanamke mmoja aliyewahi kujifungua watoto mapacha na baadaye kujifungua tena watoto watatu amejifungua watoto watano wengine

Bi. Sofiat Mutesi mwenye umri wa miaka 37 alikimbizwa katika kituo cha afya cha Ivukula baada ya kuhisi uchungu wa kujifungua

Hata hivyo baada ya kujifungua Mtoto mmoja alimbizwa tena katika Hospitali ya Iganga-Nakavule baada ya kubainika kuwa anaujauzito wa Watoto zaidi ya mmoja

Akiwa katika Hospitali ya Iganga-Nakavule alifanikiwa kujifungua watoto wengine wanne. Kutokana na uzazi huo wa Watoto 5 Bi. Sofiat Mutesi kwa sasa anajumla ya Watoto 10 ndani ya uzazi wa mara 3


=====

A 37-year-old woman, who previously gave birth to twins and later triplets, has given birth to quintuplets, three girls and two boys.

Ms Sofiat Mutesi, a resident of Nawaikoke Village, Kibale Sub County in Namutumba District, Eastern Uganda went into labour at Ivukula health centre III on Saturday night at around 9pm and moments after, she delivered a boy weighing 1.5 kilograms.

She was however rushed in an ambulance to Iganga-Nakavule Hospital in Iganga District to avert any complications after it emerged that she was carrying more than one child.

Ms Maureen Babine, a midwife at Iganga-Nakavule Hospital said Ms Mutesi upon arrival at her unit, gave birth to the second baby, a girl weighing 1.5 kilograms at around 11pm.

She then delivered a boy, a girl and lastly a girl weighing 1.3 kilograms, 1.6 kilograms and 1.4 kilograms respectively.

"She had a normal delivery and the five babies are fine, in good health and without any defects. After every three hours they are breastfed and given glucose. The mother is fine, all has been done to contain the bleeding and she is even washing clothes," Ms Babine said.

-Daily Monitor-
 
Back
Top Bottom