Namuota Kila baada ya wiki.

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Habari za majukumu

Twende kwenye mada

Kuna mdada mmoja hivi bwana huwa namuota kwenye ndoto Mara kwa Mara kiasi kwamba haipiti wiki moja bila kunijia ndotoni tukifannya mapenzi.

Tatizo Ni mke wa jirani yangu.
Je hii huwa inaashiria Nini?

(Shule zimefungwa)
 
Hii inaashiria utaungana na yule jamaa wa kimara aliepigwa mbupu kwa siku mbili mfululizo na kuzimia
Habari za majukumu

Twende kwenye mada

Kuna mdada mmoja hivi bwana huwa namuota kwenye ndoto Mara kwa Mara kiasi kwamba haipiti wiki moja bila kunijia ndotoni tukifannya mapenzi.

Tatizo Ni mke wa jirani yangu.
Je hii huwa inaashiria Nini?

(Shule zimefungwa)
 
Ndoto ni ile hali ya njozi,kuwaza na taswira au kufikiria kitu fulani,mtu huota kitu alichokiona au alichokiwaza,

So,unaonekana unamuwaza sana huyu mdada kwa kumuwazia kufanya nae mapenzi,huyo ni mke wa mtu tayari,nakushauri uondokane na hayo mawazo na kisha tafuta mwingine ambaye hajaolewa.
 
Jina mizi la ngono hilo. Kaombewe mapema.
Habari za majukumu

Twende kwenye mada

Kuna mdada mmoja hivi bwana huwa namuota kwenye ndoto Mara kwa Mara kiasi kwamba haipiti wiki moja bila kunijia ndotoni tukifannya mapenzi.

Tatizo Ni mke wa jirani yangu.
Je hii huwa inaashiria Nini?

(Shule zimefungwa)
 
Habari za majukumu

Twende kwenye mada

Kuna mdada mmoja hivi bwana huwa namuota kwenye ndoto Mara kwa Mara kiasi kwamba haipiti wiki moja bila kunijia ndotoni tukifannya mapenzi.

Tatizo Ni mke wa jirani yangu.
Je hii huwa inaashiria Nini?

(Shule zimefungwa)
Jini mahaba mkuu. Kapige maombi
 
Endelea kuota ivyo ivyo amna tatzo ..
tapatalk_1544266636863.gif
 
Habari za majukumu

Twende kwenye mada

Kuna mdada mmoja hivi bwana huwa namuota kwenye ndoto Mara kwa Mara kiasi kwamba haipiti wiki moja bila kunijia ndotoni tukifannya mapenzi.

Tatizo Ni mke wa jirani yangu.
Je hii huwa inaashiria Nini?

(Shule zimefungwa)
Soon mtakua kwa bed mnanjunjana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom