The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,330
- 4,146
- Thread starter
- #101
Salamu zimefika kakaNisalimie watu wa sua huko
Salamu zimefika kakaNisalimie watu wa sua huko
Masaa ya siku 2, gawanya kwa 2Una miaka mingapi? Nijibu PM
Hizi Dp zenu ndo zinazotuchanganya🙄🙄🙄Utoto raha
Afu Dp ya yule dada c ilikuwa kama hyo ya huyo B dadamie sie mtoto ujue
nimeambiwa nipunguze mawasiliano naye, natumai itasaidiaVijan wasikuhz
Ushamwambia una mke
bado haumpend
Anaviznga
Nb'-
Sababu zote za kumuach unazo alafu unaulza nn?
Umeona eeeeh, nikaingia chakikeHizi Dp zenu ndo zinazotuchanganya
Hata mie nnawazo hlo,sijui niende🤔🤔umeona eeeeh ,nikaingia chakike
Hii ndo option iliyobakia tuPoteza cm, upatkanaji wako utakuwa mgum labda akufuate unapoishi, bado itafika time atachoka na taratbu mtajenga distance
Rukanae tu kaka usijaliHata mie nnawazo hlo,sijui niende
Yawezekana, na ndo maana anatuambia utoto raha, atakuwa mtu mzima huyoyaaap mkuu ila unaweza kuta umri ni wa kina Kasie
utaja na feedback utayoyakuta huko.Yawezekana, na ndo maana anatuambia utoto raha, atakuwa mtu mzima huyo
Acha usanii hakunaga urafiki wa amani Kati ya chui na swalaNawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee.
Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa.
Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee.
Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa.
Kuna jamaa nimemjibu hapo juu kakaUmri wako Tafadhali
NimekusomaMasaa ya siku 2, gawanya kwa 2
Inawezekana ndugu kabisa yanAcha usanii hakunaga urafiki wa amani Kati ya chui na swala