Namuona Trump akigombea 2024 na kushinda Urais wa Marekani

hukumundo

JF-Expert Member
Oct 8, 2011
849
500
Ukweli mchungu, mwaka 2015 hakuna ambaye angedhani kuwa Trump angepata nominee ya Republican, ata Obama alibeza kuwa Trump ata nominee hatapata, lakini sote tunajua kilichotokea.

Mwaka 2016 Trump alipata kura 62m(popular votes) akashinda uraisi,
Mwaka Jana alipata kura 74m(popular votes) so kura zake zilipanda(tofauti na incumbent president wengine like Obama) ambao term ya pili kura zao zilipungua.

Sahivi Trump anafanya mikutano America nzima, ana wafuasi wengi Sana, na ukisikiliza points zake zinapendwa kweli na ni za ukweli, simuoni mtu yeyote kwenye Republicans ambaye anaweza mzidi Trump kwenye nomination.

Upande mwingine Democrats wanamuogopa Sana Trump,,mwaka 2016 walimdharau Ila akawashangaza.

Kwa ninavyoona Bado Trump atashida 2024.
You see, kuna watu wanampenda Trump, kufa! Huwezi kuwaambia kitu chochote wakakubali kwamba Trump kakosea. Walimpigia kura kwa rekodi. Kwa upande mwingine angalia kura walizompigia Biden. Nazo zilivunja rekodi zote. Kwa nini? Kwa sababu kuna watu wengi zaidi ambao hawakufurahishwa na miaka minne ya Trump. Sote tuliomdharau Trump tulijua ni mwongo, tapeli of the highest order na racist (google Trump University, Central Park Five, Birtherism). Wanaodai ni msema kweli, nataka kujua ukweli gani huo anaosema. Tulidhani Wamarekani walio wengi wasingependa kuongozwa na mtu ambaye kwanza hajui lolote kuhusu serikali (fuatilia ambavyo hajui katiba ya nchi yake inasemaje). Sote hatukujua kwamba alikuwa ameshikilia hilo wazo kwamba wazungu wananyang'anywa nchi sasa (Maandamano ya N. Carolina 2017 waliimba "We will not be replaced"). Ushahidi kwamba wananyang'anywa nchi ilikuwa ni Jaluo alikuwa White House. Watu wengi walipoona kwamba Trump ndiye mgombea hawakujishughulisha hata kwenda kupiga kura. Kufumba na kufumbua lofa Drumpf kaingia ikulu. Wale waliopuuzia 2016 walijifunza wakajitokeza kwa wingi 2000.
Blunder ya corona ndiyo iliyomvua nguo zaidi kwamba ni mtu ambaye hajui utawala na mwenye kushikilia mawazo ambayo ni scientifically proven wrong.
Kwa wale waliofuatilia tabiri za makanisani, nyingi zilidai angeshinda 2020. Watu hao hatari wa makanisani wanahusika na kupotosha mambo mengi na kushikilia uwongo kama Drumpf mwenyewe. Alipodai kwamba covid19 si ugonjwa ila ni njama za kumwondoa madarakani, makanisani watu wameendeleɑ kuhubiri hivyo ilhali waumini na makasisi wenyewe wanakufa. Aliposhindwa uchaguzi wengine wameendelea kudai kwamba atarudishwa madarakani wakati katiba haitoki kabisa mwanya huo baada ya matokeo kuthibitishwa tar. 6 Januari, 2021.
Lakini Trump ni pekee miongoni mwa wagombea aliyesimama kidete kutaka kuwarudishia nchi wazungu . Hence Make America White Again. Unabadilisha neno moja kwa kulificha na it looks respectable.
 
Mr.panya

Senior Member
Apr 6, 2014
196
250
Bora asirudi tu mana anacheza sana stock market kwa matamko yake na tweets zake za kila mara,sis traders atatupa tabu tu
 
Eng peter pan

JF-Expert Member
Sep 15, 2021
1,018
2,000
Ukweli mchungu, mwaka 2015 hakuna ambaye angedhani kuwa Trump angepata nominee ya Republican, ata Obama alibeza kuwa Trump ata nominee hatapata, lakini sote tunajua kilichotokea.

Mwaka 2016 Trump alipata kura 62m(popular votes) akashinda uraisi,
Mwaka Jana alipata kura 74m(popular votes) so kura zake zilipanda(tofauti na incumbent president wengine like Obama) ambao term ya pili kura zao zilipungua.

Sahivi Trump anafanya mikutano America nzima, ana wafuasi wengi Sana, na ukisikiliza points zake zinapendwa kweli na ni za ukweli, simuoni mtu yeyote kwenye Republicans ambaye anaweza mzidi Trump kwenye nomination.

Upande mwingine Democrats wanamuogopa Sana Trump,,mwaka 2016 walimdharau Ila akawashangaza.

Kwa ninavyoona Bado Trump atashida 2024.
Trump jembe sana sio hawa wanaosapoti ushoga na usagaji
 
Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
7,531

Bila urusi, Trump asingeshinda ule uchaguzi. Kila mwenye akili anajua Hilo. Na urusi kurudia kuingilia uchaguzi wa ndani haitokaa itokee tena
 
hukumundo

JF-Expert Member
Oct 8, 2011
849
500
Trump jembe sana sio hawa wanaosapoti ushoga na usagaji
Ni hatari sana kusapoti kwa sababu ya suala moja tu. Mtu akikulipia ada na mengi ili akubake kila siku, yumkini hutasema kwamba ni mtu mzuri kwa sababu tu anakulipia ada. Watu zaidi ya laki sita wamekufa kwa uzembe wa mtu anayejidai hasapoti ushoga. Mtu aliyekuwa tayari kuvunja katiba ili mradi tu abaki madarakani ....
Mahaba niue! Hebu jaribu kutafuta zaidi habari za hilo dude unalolisapoti. Utagundua ni libaguzi la kutupa. Kabla halijachaguliwa, nilisema mara kwa mara msimtarajie Trump kuisaidia Afrika kwa namna yoyote. Afrika inahitaji kujisafisha yenyewe. Baada ya kuingia madarakani ndipo watu mlipoona kwamba haijui Afrika, na hakudirikiri kukanyaga Afrika.
 
RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,380
2,000
You see, kuna watu wanampenda Trump, kufa! Huwezi kuwaambia kitu chochote wakakubali kwamba Trump kakosea. Walimpigia kura kwa rekodi. Kwa upande mwingine angalia kura walizompigia Biden. Nazo zilivunja rekodi zote. Kwa nini? Kwa sababu kuna watu wengi zaidi ambao hawakufurahishwa na miaka minne ya Trump. Sote tuliomdharau Trump tulijua ni mwongo, tapeli of the highest order na racist (google Trump University, Central Park Five, Birtherism). Wanaodai ni msema kweli, nataka kujua ukweli gani huo anaosema. Tulidhani Wamarekani walio wengi wasingependa kuongozwa na mtu ambaye kwanza hajui lolote kuhusu serikali (fuatilia ambavyo hajui katiba ya nchi yake inasemaje). Sote hatukujua kwamba alikuwa ameshikilia hilo wazo kwamba wazungu wananyang'anywa nchi sasa (Maandamano ya N. Carolina 2017 waliimba "We will not be replaced"). Ushahidi kwamba wananyang'anywa nchi ilikuwa ni Jaluo alikuwa White House. Watu wengi walipoona kwamba Trump ndiye mgombea hawakujishughulisha hata kwenda kupiga kura. Kufumba na kufumbua lofa Drumpf kaingia ikulu. Wale waliopuuzia 2016 walijifunza wakajitokeza kwa wingi 2000.
Blunder ya corona ndiyo iliyomvua nguo zaidi kwamba ni mtu ambaye hajui utawala na mwenye kushikilia mawazo ambayo ni scientifically proven wrong.
Kwa wale waliofuatilia tabiri za makanisani, nyingi zilidai angeshinda 2020. Watu hao hatari wa makanisani wanahusika na kupotosha mambo mengi na kushikilia uwongo kama Drumpf mwenyewe. Alipodai kwamba covid19 si ugonjwa ila ni njama za kumwondoa madarakani, makanisani watu wameendeleɑ kuhubiri hivyo ilhali waumini na makasisi wenyewe wanakufa. Aliposhindwa uchaguzi wengine wameendelea kudai kwamba atarudishwa madarakani wakati katiba haitoki kabisa mwanya huo baada ya matokeo kuthibitishwa tar. 6 Januari, 2021.
Lakini Trump ni pekee miongoni mwa wagombea aliyesimama kidete kutaka kuwarudishia nchi wazungu . Hence Make America White Again. Unabadilisha neno moja kwa kulificha na it looks respectable.
Ukweli atashinda Tena maana nkiangalia mikutano yake bado anapendwa
 
RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
1,380
2,000
Ni hatari sana kusapoti kwa sababu ya suala moja tu. Mtu akikulipia ada na mengi ili akubake kila siku, yumkini hutasema kwamba ni mtu mzuri kwa sababu tu anakulipia ada. Watu zaidi ya laki sita wamekufa kwa uzembe wa mtu anayejidai hasapoti ushoga. Mtu aliyekuwa tayari kuvunja katiba ili mradi tu abaki madarakani ....
Mahaba niue! Hebu jaribu kutafuta zaidi habari za hilo dude unalolisapoti. Utagundua ni libaguzi la kutupa. Kabla halijachaguliwa, nilisema mara kwa mara msimtarajie Trump kuisaidia Afrika kwa namna yoyote. Afrika inahitaji kujisafisha yenyewe. Baada ya kuingia madarakani ndipo watu mlipoona kwamba haijui Afrika, na hakudirikiri kukanyaga Afrika.
Trump kwa Africa aliweza, hakuingilia kabsa Mambo ya Africa
 
Artificial intelligence

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
585
1,000
Ukweli mchungu, mwaka 2015 hakuna ambaye angedhani kuwa Trump angepata nominee ya Republican, ata Obama alibeza kuwa Trump ata nominee hatapata, lakini sote tunajua kilichotokea.

Mwaka 2016 Trump alipata kura 62m (popular votes) akashinda urais.

Mwaka Jana alipata kura 74m (popular votes) so kura zake zilipanda (tofauti na incumbent president wengine like Obama) ambao term ya pili kura zao zilipungua.

Sahivi Trump anafanya mikutano America nzima, ana wafuasi wengi Sana, na ukisikiliza points zake zinapendwa kweli na ni za ukweli, simuoni mtu yeyote kwenye Republicans ambaye anaweza mzidi Trump kwenye nomination.

Upande mwingine Democrats wanamuogopa Sana Trump, mwaka 2016 walimdharau Ila akawashangaza.

Kwa ninavyoona Bado Trump atashida 2024.
Hawezi kuwa Rais tena, kule hawarudiagi kosa mara mbili.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom