Namuona Trump akigombea 2024 na kushinda Urais wa Marekani

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
798
843
Ukweli mchungu, mwaka 2015 hakuna ambaye angedhani kuwa Trump angepata nominee ya Republican, ata Obama alibeza kuwa Trump ata nominee hatapata, lakini sote tunajua kilichotokea.

Mwaka 2016 Trump alipata kura 62m (popular votes) akashinda urais.

Mwaka Jana alipata kura 74m (popular votes) so kura zake zilipanda (tofauti na incumbent president wengine like Obama) ambao term ya pili kura zao zilipungua.

Sahivi Trump anafanya mikutano America nzima, ana wafuasi wengi Sana, na ukisikiliza points zake zinapendwa kweli na ni za ukweli, simuoni mtu yeyote kwenye Republicans ambaye anaweza mzidi Trump kwenye nomination.

Upande mwingine Democrats wanamuogopa Sana Trump, mwaka 2016 walimdharau Ila akawashangaza.

Kwa ninavyoona Bado Trump atashida 2024.
 
Trump hawezi tena kushinda.

Ron DeSantis ndo Rais wa Marekani 2024.

Biden ni caretaker tu. Kamala hamna kitu kabisa.
 
Kabisa... Trump anaweza kuchukua.. Watu wakabaki midomo wazi..

Naona yuko serious kweli kweli...
 
Trump bado ana wafuasi wengi sana. Tutegemee ushindani mkubwa sana.
 
Marekani ukishakua kiongozi wa ngazi ya juu na ukaondoka ofisini hurudi tena, Wale wanazingatia sana Demokrasia. Nini cha ajabu Trump anaenda kukifanya wakati alishindwa kuzuia wimbi la maambukizi ya Covid-19 mapema kabla ya maambukizi ya mwanzo kuripotiwa.
 
Marekani ukishakua kiongozi wa ngazi ya juu na ukaondoka ofisini hurudi tena, Wale wanazingatia sana Demokrasia. Nini cha ajabu Trump anaenda kukifanya wakati alishindwa kuzuia wimbi la maambukizi ya Covid-19 mapema kabla ya maambukizi ya mwanzo kuripotiwa.
Hizo mbwembwe hata 2016 mlisema hatashinda na akashinda
 
Back
Top Bottom