Namuona Hillary Clinton kila ninapo muangalia Mama Salma Kikwete

thehunk

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
527
221
Kwa harakati anazozifanya mama salma kikwete ,sitashangaa mwaka 2035 ccm ikampa ridhaa ya kupeperusha bendera ya ccm kwa ngazi ya uraisi.kila la heri mama yetu mungu akutangulie
 
Nyie mum beze tu huyi mama...ila the time will tell.msije mkaniambia mimi ni shekhe yahya
 
Nyota njema huonekana asubuhi . ..hapa kwa huyu mama hamna kitu kabisa kabisa . ..
 
Back
Top Bottom