OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
Shishi babyDaaaaah... kuna jamaa alisema ni DHAMBI kufananisha KIPAPLIPAPLI na FURSANA....
Umesema nani na Edgar Davis???
Sent using Jamii Forums mobile app
Shishi babyDaaaaah... kuna jamaa alisema ni DHAMBI kufananisha KIPAPLIPAPLI na FURSANA....
Umesema nani na Edgar Davis???
Sio sare ulipigwa 5-4Nimeona Kikosi cha Bilion 1.3 kikitoa sare dhidi ya kikosi cha Mil 540.
Na bado umesajili ili uhakikishe unafunga magoli mengi....
Kuacha unazi Haruna aliupiga mwingi sana juzi,
Ila Yule Papy Tshishimbi ni moto, Mikia mtalimia Meno....
Sent using Jamii Forums mobile app
History ndy mlichobakiza now....ukiuliza ln....eti ENZI ZA UCHEZA BILA VUATU....mpira hauna HUSTORY ndy maana MASHINDANO YAPO kila kukicha....anzia mwaka 2000 nani TEJA LA MWENZIE.....kama sio PEKUPEKU FC
Wazazi wako waliposema sasa mwanangu umekuwa walianza kuhesabu miaka yako tangu walipokuzaa au baada ya kubarehe?
Sasa hiyo ya kuanzia 2000 si historia? Na kama ni historia kwa nini ianzie 2000, isianzie timu hizi ziliopoanza kukutana?History ndy mlichobakiza now....ukiuliza ln....eti ENZI ZA UCHEZA BILA VUATU....mpira hauna HUSTORY ndy maana MASHINDANO YAPO kila kukicha....anzia mwaka 2000 nani TEJA LA MWENZIE.....kama sio PEKUPEKU FC
Sent using Jamii Forums mobile app
History ndy mlichobakiza now....ukiuliza ln....eti ENZI ZA UCHEZA BILA VUATU....mpira hauna HUSTORY ndy maana MASHINDANO YAPO kila kukicha....anzia mwaka 2000 nani TEJA LA MWENZIE.....kama sio PEKUPEKU FC
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hiyo ya kuanzia 2000 si historia? Na kama ni historia kwa nini ianzie 2000, isianzie timu hizi ziliopoanza kukutana?
Ndiyo maana kameongia mitini!1965 - 1999 = Miaka 34 imepita. (Hii sio historia)
2000 - 2017 = Miaka 17 imepita. (Hii ni historia)
Achana naye, huenda ni ka' teenager.
Kuna mtu mmoja maarufu kwa kuipenda Yanga fc, nilimwambia kuwa, Sifa za mchezaji hazi pimwi kwa mechi moja.