Nimeuliza swali. Kuna vitoto vingapi vya hippopotumus? Najua hippopotumus atafika salama majini.Atafika salama tu
Nimeuliza swali. Kuna vitoto vingapi vya hippopotumus? Najua hippopotumus atafika salama majini.Atafika salama tu
mpango gani ufafanueMama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
Ulimuona ?Yaani MUNGU angekuwa baba mdogo wa tecdema, tungekoma
lakn kwa bahati nzuri MUNGU hatoki kijijini kwao, MUNGU yupo mbinguni
Nchi lazima iendelee kivyovyote vileHivi misaada ya west imepungua hadi kutembeze bakuli Kremlin?
Hujaandika hiki kwa Tundu Lissu na yupo gerezani zaidi ya mwaka sasa. Samia amesafiri jana tu unaleta unafiki wako hapa!!Nitamuombea sasa hivi zamu ya MAMA SAMIA, zam zam sina ninayemchukia MKUU
Kila kitu kina mda wake, uwepo online kuanzia sasa mchana mpaka jioni nitapandisha uzi kumuhusu TALHujaandika hiki kwa Tundu Lissu na yupo gerezani zaidi ya mwaka sasa. Samia amesafiri jana tu unaleta unafiki wako hapa!!
Saf san tumeona juhudi zako... Kesho fika ofis ndogo Lumumba uchukue elfu saba yako!! Endeleza juhudiChei chei
Ukinuna nuna ila hakikisha haujidhulu
Dua ni moja kwa moja URUSI.. alipo MAMA SAMIA SULUHU.. namuombea akamilishe salama majukumu yake ya kinnchi na arudi na afike salama Tanzania
Sio rahisi kwa anavyoipambania nchi kama hivi binafs namuombea kwa M/Mungu na namshukuru M/Mungu na namuomba amuongezee nguvu maradufu
Maneno na chuki nyingi za kumrusisha nyuma mara maneno ya hapa na pale lakini siku zote M/Mungu ndio mshindi
Amjaalie arudi salama na aendelee na majukumu yake Kama kawaida..
Chuki inaanza kukuumiza wewe kwanza na hata upendo ukimpenda mtu wewe utajipenda/kupendwa mara dufu
Ukimuombea dua mwenzako M/Mungu anaanza kukupa wewe kwanza
Taifa bila MAMA HAIWEZEKANI
Chei chei

Ukimuombea dua baya mwenzako linaanza kwakoHapana mimi sio mnafiki.
Mimi namuombea mabaya kama Ajali, kutekwa, kesi, kifo nk.
Hiyo ongezea wewe , ili ukalipe kodi ya taifaSaf san tumeona juhudi zako... Kesho fika ofis ndogo Lumumba uchukue elfu saba yako!! Endeleza juhudi
Zelensky akidondosha ka-drone hapo alipo, inatoshaMama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
Kodi nalipa kweny kila kitu, pia siwez kukudhulumu haki yako ya buku sabaHiyo ongezea wewe , ili ukalipe kodi ya taifa
M/Mungu anamlinda raisi SAMIA SULUHU.. haiwez kutokea hiyoZelensky akidondosha ka-drone hapo alipo, inatosha
Samuya ni nuksi kwa taifa, wengi tunamuomba Mungu aamue ugomvi!Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
Utakufa wewe kama Mbwa 🐕 KokoSamuya ni nuksi kwa taifa, wengi tunamuomba Mungu aamue ugomvi!
Hata shetani ni mungu kwa wale wamuabuduo.Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe