Namuelewa sana Jaji Mutungi, Tanzania ingekuwa na upinzani Lowassa asingegombea urais kwa tiketi ya UKAWA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,897
141,833
Ni lini Lowassa alikuwa mfuasi wa UKAWA hadi akapewa nafasi ya kugombea urais na kuwatema Dr Slaa na Prof Lipumba.?

Mambo kama haya ndio huwafanya watu makini kuvipuuza vyama vinavyojiita vya upinzani na kuviona vinatucheleweshea maendeleo.

Niishie hapo!
 
Pamoja na kwamba simfagilii Lowassa ukweli ni kuwa angekuwa rais saa hii angekuwa ananyenyekewa ile mbaya. Ukishakuwa rais ndani ya nchi hii mtu awe makini, mwerevu au mjinga unamburuza tu. Hao watu unaosema wanaopuuza vyama ni kwakuwa box la kura sio lazima liheshimiwe. Vinginevyo box la kura lingekuwa kinaheshimika tungeongea mengine.
 
Miaka 50 ya Uhuru CT SCAN za kuhesabu halafu bado unaamini Upinzani ndo unachelewesha maendeleo. Nyie watu mna nini lakini?
 
Lini Hawa wabunge wanaojiuzuru kuunga mkono kutoka upinzani wamekuwa wana ccm Hadi wanapewa nafasi kugombea nafasi hizo hizo walizojiuzuri ndani ya wiki hiyo hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom