Namteua Halima Mdee kwenye 'The Women of Achievement Awards' 2018

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
1,715
2,000
Wakuu, emu changamkieni tuwateue hawa kina dada wanaopigana kila siku kwa ajili ya Taifa hili. Nenda katika link hii ujaze fomu, inachukua dakika 3 tu. Baadhi ya hawa kina dada wanaonyesha ujasiri zaidi ya watu wanaojiita wanaume. Deadline ya kuteua mtu ni keshokutwa kwa hiyo usisubiri.

Mimi nimemteua dada yangu Halima Mdee. Namkubali sana huyu bidada! Hivi ndiyo nimeandika kwenye section ya kwa nini anastahili kushinda. Nadhani unaweza kujaza kwa kiswahili.

Halima Mdee has proven to be a strong advocate for democracy, human rights and transparency in government and public administration. She has been arrested and charged several times on dubious charges but that has not stopped her from continuing the fight for the rule of law and leadership based on our constitution.

Her winning will send a strong, positive and encouraging signal not only to other women but to every Tanzanian in general who are all victims of corruption, abuse of power and misappropriation of public funds. Without rule of law, it is impossible to build a strong democratic society. Personally, I wish we had 100 Halima Mdees.
 
Grey256

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
880
1,000

Mtu anajiteuaje mwenyewe.....si udikteta huu.
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
24,639
2,000
Hivi anawaletea maendeleo gani.. wanawake wa jimboni kwake?

Ungeandika na jina lako..
 
Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,294
2,000
Anastahili kiukweli , Wengi watakaopinga ni wale wanaona ma socialite aka wauza papucci professional kama ma role model
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,357
2,000
Hivi anawaletea maendeleo gani.. wanawake wa jimboni kwake?

Ungeandika na jina lako..
Haaaa, Heheheeeeee !!!! We unaulizia wanawake wakati huyu ni mbunge wa wote wanawake na wanaume.Kwa kifupi amalize tu muda wake asirudi kugombea tena. Na kama chama kikimsimamisha huyu mtu kwa kulazimisha basi kijiandae kupoteza jimbo.
 
Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
1,715
2,000
M
Hivi anawaletea maendeleo gani.. wanawake wa jimboni kwake?

Ungeandika na jina lako..

Kazi ya mbunge ni kusaidia utungaji wa sheria na kutetea maslahi ya watu wa jimbo lake bungeni.

Jina langu la nini tena?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom