Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

Hii thread ina kera sana.
Sasa na wewe tafuta wako watu waje wakulie ndio utajua.
Mbona wanawake wengi had kwenye mitandao,mwenzio katafuta we uje ule kirahisi. Unani onesha ulivyo kuwa unapenda kuchungulia kwa wenzako ulipo kuwa shule.
 
Yaani wewe walahi adabu huna hata kidogo,yaani unadiriki kumtamani shem wako,halafu unadiriki kutuandikia hapa hyo kitu.Yaani futa kabisa hayo mawazo na kama hapo nyumbani pamekushinda ni bora uondoke maana ukitaka kuvunja undugu na kaka yako,fanya huo uchafu.
 
Inaonekana ww hata ukibanwa na haja kubwa
unaomba ushauri ukakate gogo au uvunge uachie humohumo, sizan km uko salama ktk brain yako.
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

hivi wewe mzima kweli?kwa hiyo ungekuwa na kaka 10 ungetembea na wake zao wote?acha huo ujinga
 
Ni tamaa tu ndg yangu jaribu kuishinda. Mheshimu shemeji yako na kaka yako pia
 
Duh! hii balaa..kwa akili yangu mimi huwa nadhani ushauri unaombwa kwa vitu ambavyo vina majibu ya kutatiza!
Sasa hili la kwako mbona liko 'naked' ..any way ngoja mie nikushauri... tembea naye na ili kunogesha penzi lenu hakikisha unamhamisha kwa bro wako..na ili mapenzi yawe ya moto moto wasitue wazazi wenu kama wapo hai kwamba unammega shem wako!..hope ukizingatia haya, mapenzi yenu yatanoga kinoma!...ahsante!
 
ndo maana spendi kukaaa na ndugu ndugu mingine ovyoo kaa ninii.huyu jamaa anaitaji maombii ya mzee ngurumo ya upako....aaahgg kichefu
 
Kijana popote pale ulipo ebu piga magoti nikuongoze sala ya toba kwanza,
Unaweza sababisha nikamrudisha kijiji yule mdogo wangu ninaekaa nae sababu yako.

Mkuu niko ofsini alone ila nimecheka kama chizi,duh kweli Jf kiboko ya njia
 
Duh! hii balaa..kwa akili yangu mimi huwa nadhani ushauri unaombwa kwa vitu ambavyo vina majibu ya kutatiza!
Sasa hili la kwako mbona liko 'naked' ..any way ngoja mie nikushauri... tembea naye na ili kunogesha penzi lenu hakikisha unamhamisha kwa bro wako..na ili mapenzi yawe ya moto moto wasitue wazazi wenu kama wapo hai kwamba unammega shem wako!..hope ukizingatia haya, mapenzi yenu yatanoga kinoma!...ahsante!

Daah! kweli Jf is never boring!
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

Dogo mse**e kweli wewe,life has PRINCIPAL son!!!!
 
afu mashemeji mnaboa!!aagh.kuna langu moja lilijaribu kwangu nililifundisha adabu kuwa mm c mke wa familia.pumbav kuwa na adabu
 
Nielekeze jinsi ya Ku-mention mtu ili aone kwenye notification kwenye Pc.
Arvin sloane fanya hivi bonyeza button ya shift na namba 2 ili uweke ile alama ya @ kisha andika jina la muhusika pasi kuacha nafasi ila liandike kwa usahihi kabisa bila kukosea spelling za jina husika. usiache nafasi kati ya @ na jina husika., na kama jina lenyewe lina space in between kama lilivyo la kwako basi acha iyo nafasi, hapa namaanisha aina ya uandish wa jina husika lazima uufuate na pia speliing za jina husika.
 
Last edited by a moderator:
Laanakhum....halafu kila siku kina baba mko mbele kudai wake zenu wanawachukia wadogo zenu!

Wee dogo, na ada unasubiri hapo hapo kwa bro au inatoka direct kwa baba?
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

Anaetaka kitu akikipata ndio furaha kwake! Unakitaka halafu hukitaki ndio vipi? Kama ushaona haifai basi usikitake!
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

Huu sasa ni ujinga na upumbavu yaani unataka tukupe ushauri wa kusex na mke wa kaka yako?..
Watu wengine mbona hamna hata chembe ya aibu yaani unadiriki kuomba ushauri wa namna hiyo badala ya kuikataa hiyo hali? kwani wanawake wameisha?
Kwa taarifa huyo kaka yako akija kujua huo ndo mwisho wa udugu wenu hata km wote ni damu moja kila mtu lazime awe kivyake.........
Achan na hizo hisia kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom