Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

Kama una dada ni bora umtake huyo dada,
aibu hiyo itabaki ndani ya familia yenu...
He!!!!! Bi mwali, ndio yamekuwa hayo tena? Yaani badala ya kumshauri aachane na huo unyofunyofu kichwani wa kumtamani shemeji yake (Mke wa kaka yake, na pengine ndie aliyemleta mjini na kumpeleka shule) sasa unamshauri ageuze mashambulizi kwa dada yake?
 
Nilitaka kumuonesha how shocking it is
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?
Akili yako na ya mbwa havina tofauti,ata mamako kumbe unaweza ukamgonga,kenge wewe,ondoa ujinga wako hapa ndani,mbwa kasoro mkia wee!
 
Kwani wewe unashida gani?wanawake wengi tu na unatamani wa kakako,ina maana wewe waweza tamani chochote kitembeacho,hii tamaa yako itakutia kaburini badilika uishi!
 
gfsonwin umemsoma huyu jamaa vizuri kweli...............?
Kama vile hujamwelewa ,....................

dah! ahsante sana father x-mas kumbe anyetaka kushtaki ni shemeji.

But ukweli unabaki palepale kuwa huyu dogo ndo mwenye matatizo so aondoke tu manake siku ya mwisho nanga lzima ipae tu.
 
Last edited by a moderator:
Tafuta video ya wimbo wa Magumegume ulioimbwa na Barnaba uiangalie.

Usiwe interested sana maneno ya wimbo, Bali video tu iliyoigizwa na Mpoki na yule mchekeshaji mwengine.

Conclusion ya video ndio yatakayokukuta kijana.
 
Lakini jamani wengi wetu ni watu wazima hapa,tukubaliane though immoral katika jamii zetu haya mambo yapo sana,ni kama vile katika kabila flan vijana wakiacha wake kijijini wakachume mjini huku nyuma ma baba wakwe huwa wanajimuvuzisha. Mengi ya haya yanafanyika kwa usiri sana,the only difference ninayoiona hapa ni kuwa dogo kaamua kubwabwaja hapa. Mwali kasema it is shocking,bishanga nasema hapana kwa kuwa mambo haya ni common sana though unjustifiable,actually wako ambao wanatembea na mama wa kambo wao (baba akioa ka kigoro wakati ana mitoto mikubwa).
Katika hili mimi naona dogo mwache atamanie mwenye jukumu la kulinda sanctity ya ndoa yake ni mke,akemee na atishie kumwambia bro,hapo kajamaa kataogopa.
 
Wengine nimewaelewa ila wanaosema kuwa shem atatuambukiza VVU me na broo wangu mnamaanisha me na shem tupime afya zetu kwanza kabla ya kunanilii naye? Nimeanza kuogopa nitafunga kwa maombi tamaa hii initoke kumbe ni roho ya ibilisi tu
 
inaonekana huyo mke wa bro wako ni luzi...maana kama anakuashiria kua yuko tayari kulala na wewe shemeji itakua kuna wengine huko nje analala nao
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

Wewe na mwenzio mmelaaniwa kuliko watu wote duniani
 
Shetani huyo,ingia chumbani kwako ukasali Mungu akuepushe na hizo hisia,utafaidi sana kwani cha wizi ni ki-tamu sana ila ujiandae kupata kipondo kwani kwa uzoefu wangu haya mambo huwa hayana siri iko siku lazima (it's a must) utabambwa na utajuta kwanini ulizaliwa kwenye hii dunia ya Mussa.
 
kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

toba yarabi!
 
Hivi uko sawa sawa kweli? What point do you want to prove? Kwamba wewe ndio mwanaume kamili kuliko kaka yako? Anyway, leo ijumaa ntaanza konyagi mapemaaa...nafurahia maisha kwa balance. Sio haya mambo ya kutaka kujipindua kichwa chini miguu juu
 
Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo konde kula mali ya broo na nina wasiwasi kuwa shem huenda vituko anavyonifanyia ananitega tu hapendi nisex naye na je akimwambia broo what wil happen!! Nipeni ushauri nifanye je?

Go and hang yourself!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom