Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa!

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Ushauri wa bure nenda eagt city center kwa mchungaji florian katunzi njia ya mbagala kwenye ibada kila ibada pale ni maombezi anza na hapo kwanza kuna mtu mdada nilinpeleka hapo tatizo kma hilo akafunguliwa wanadamu wanamambo huenda wamekufunga mahali maombi ni buure pale nauli yako tu kufika kanisani Trust me utapata njia pale....
 
habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa!

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Bila yeye kujua.😂😂😂😂🤣 Jioni kutakuwa migongano mbele ya safari?
 
Waweza kuwa na nia njema . Sasa mama mdogo mwenyewe apunguze usabato na ubosi ajichanganye na watu wa kawaida . Hao ndiyo waoaji na wazalishaji. Lakini akitaka wa levo na rika lake hao tayari wana majukumu na miji yao.

Pili kwa kuwa mnaaminiana naye mtanie tu kuwa "Mama nataka uncle na mdogo wangu" . Ili usikie opinion yake isijekuwa ni sister kidini.

Odhis *
tunataniana sana na yuko open kwangu ndo maana mpaka naandika hapa najua shida yake
 
We kibamia ama?mpe dozi huyo atazaa tu unajua mnatupotezea muda sana na mada zenu hizi za kilofalofa.
 
habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa!

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Miaka 39 hajapata hata wa kumzalisha na kumtelekeza? Pole sana naomba usiwe offended na maneno yangu ila sisi vijana tunaogopa sana wanawake ambao wameenda age halafu hata mtoto hana
 
Back
Top Bottom