Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa!

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Kumbe sio mtu yoyote, lazima awe mkristo na muajiriwa serikalini. Sisi wamchinga na Mayakhe hatuna nafasi
 
habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa!

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Mtoa post ni me au ke?
 
Akili ya mbu
 
ni kitu kinampa sana frustration nimeandika hivi sababu naelewe real situation
Waweza kuwa na nia njema . Sasa mama mdogo mwenyewe apunguze usabato na ubosi ajichanganye na watu wa kawaida . Hao ndiyo waoaji na wazalishaji. Lakini akitaka wa levo na rika lake hao tayari wana majukumu na miji yao.

Pili kwa kuwa mnaaminiana naye mtanie tu kuwa "Mama nataka uncle na mdogo wangu" . Ili usikie opinion yake isijekuwa ni sister kidini.

Odhis *
 
Back
Top Bottom