Namtafuta Zenobia Marcel Mtenga au Serena Mtenga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtafuta Zenobia Marcel Mtenga au Serena Mtenga

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Zogwale, Jan 10, 2011.

 1. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ngugu wanajamii wenzangu,
  Ninaombeni msaada wenu kunipa taarifa za kuweza kumpata dada Zenobia Marcel Mtenga, jina la kusomea au Serena Mtenga (jina halisi). Huyu Dada anotoka Rombo Sijui sehemu gani. Alisoma Ruvu Secondary miaka ya 1980s na baadaye alijiunga High Level Loleza Secondary kama sikosei. Ninamtafuta sana kwa juhudi kubwa na kwa jambo jema tu. Nafahamu pengine atakuwa ni mke wa mtu kwa sasa maana ni muda mrefu, mumewe asiwe na hofu hata kidogo. Ninaomba unayechangia weka maoni ya kusaidia si kejeli. Asanteni sana kwa msaada wenu.
   
 2. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Pliizi jitokezeni nipatie taarifa za huyu dada/mama.
   
Loading...