Namtafuta William Shao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namtafuta William Shao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngala, Mar 18, 2010.

 1. N

  Ngala Senior Member

  #1
  Mar 18, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi leo nimemkumbuka ndugu yangu william shao. Mara ya mwisho nilikuwanamsoma sana kwenye gazeti la rai enzi zile za nguvu ya hoja na makala zake moto na zenye ukinzani wa kutosha.namwomba popote alipo aingie kwenye jamvi hili aweze kutumegea anayoyaamini ili sote tuyajadili. Ni kwaniaba ya wanajamvi na kwa ruhusa ya Mkuu naomba michango yako kwenye uwanja huu mpana na uliohuru.
   
 2. w

  wakuwaza JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Nasikia hivi sasa William Shao yuko Business Times. Nadhani siku hizi haandiki tena kwa sababu ameingilia mambo ya Information Technology. Lakini mara ya mwisho nasikia alikuwa akiandaa vitabu baada ya kuchapa kimoja kinachoitwa Miaka 2000 ya Ukristo ni Historia Iliyopotoshwa.
   
 3. j

  join9527 Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
   
 4. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  akipata tu taarifa atashawishika, ataingia Jf.
   
 5. w

  wakuwaza JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hajaonekana tu huyo William Shao?
   
 6. bona

  bona JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  huyu mshkaj kaishiwa nimefuatilia issue alizokua akiandika alikau aki plagiarize other peoples work ndio mana kwa maendeleo ya sayansi na teknolojia ameona atabambwa, sio muandishi wa kivile!
   
 7. G

  Gagso Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mfate kwny gazet hilo....?c o humu?
   
 8. w

  wakuwaza JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Toa ushahidi. Ninavyo vitabu vyake viwili na nimevisoma sana. Sijaona hiyo plagiarism unayodai. Toa ushahidi ili tukuamini. Usijisemee tu.
   
 9. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,386
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  toen wehu wenu humu ana nini cha kumsaidia mtanzania?
   
 10. w

  wakuwaza JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ana mengi. Nimesoma kazi zake nyingi. Labda mseme hamna cha kusema. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Shao sijawahi kukutana naye hata siku moja, lakini navutiwa sana na uandishi wake. Kwanini tuandikie mate wakati wino upo? Si msome vitabu vyake? Kama mwamtaka kujua kweli si mwende librari msome kazi zake? Naungana na aliyesema shao namkubali. namimi namkubali tena sana.
   
 11. M

  MR UNINFORMED JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2017
  Joined: Sep 8, 2013
  Messages: 757
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 180
  Mtoa uzi...ulishafanikiwa kumpata william shao?! Nahitaji vitabu vyake
   
Loading...