Namtafuta vivian wa arusha mianzini

HMJ

Senior Member
Apr 24, 2013
157
20
Popote alipo anitafute au kama kuna m2 anamfahamu bas ujumbe amfikishie nimempoteza rfk kipenz roho inaniuma xna

anafanya kaz NGO,mwembamba,mweupe na mrefu.

kama ukiupata ujumbe huu plz naomba uni PM au kupitia hamisjongo@yahoo.com au 0689427595

is your Mustafa..!!
 
wewe unamtafuta mke wa mtu kirahisi hivyo, urafiki wenu ulikuwa huko primary na secondary
 
Alikuwa anaitwa Vivian nani? Funguka tukusaidie.......Mianzini ni maeneo yetu ya kujidai...

hivi cku hizi humu watu wanatafuta waliosoma nao primary,wachumba,wapenz,nightstands,wake,waume
khaaaa
 
Aisee huyu vivian mimi namfahamu kabisaaaa...niambie tu mlifahamianaje, na unamtafutia lipi nitakupa contacts zake!!!
 
Last edited by a moderator:
ingia club inaitwa pin point saa 9 uck nenda kwa dj mtaie hilo jina alitangaze lazma atakuwa hapo kama hajajipumzisha vyumba vya juu.
 
dah alikua ni best yangu xna nilipoteza contact zake xo kama kweli unamjua bac nisaidien wakubwa Imissing her very much..!!
 
Last edited by a moderator:
Tangu lini mtu akatafutwa kwa jina moja mkuu. Mianzini ina akina vivian ka mia hivi yupi uayemtafuta?
 
dah alikua ni best yangu xna nilipoteza contact zake xo kama kweli unamjua bac nisaidien wakubwa Imissing her very much..!!

1. Huyu Vivian ana mchumba anatarajia kuolewa mwakani mwanzoni, KWA HIYO NATUMAI HUMTAFUTI KWA MASUALA HAYO.

2. Vivian kwa sasa amesafiri nje ya nchi mpaka mwisho wa mwezi nimeshamtumia mail akinijibu kuridhia nitakupa contacts zake.

3. Lazima ukubaliane na namba 1 hapo juu ndipo namba 2 itekelezwe.

4. Sasa hivi hauna besti mwingine? hii mambo ya kuendeleza ubesti na wachumba za watu...wiki ijayo ntakupeni kisa cha yaliyonikuta na ubesti na mademu za watu!!!
 
Mkuu umewaza mbali xna cna mahusiano yyte ya kmapenz just like my sister
 
Basi usijali.tena tunaweza kukuongeza kwenye grooms men list maana tumepungukiwa mmoja...i hop utakuwa free january mwakani!!!
 
ingia club inaitwa pin point saa 9 uck nenda kwa dj mtaie hilo jina alitangaze lazma atakuwa hapo kama hajajipumzisha vyumba vya juu.

Yaelekea wewe ni mzoefu sana wa maeneo hayo ya Pin point. Hivi Bidhaa za usiku pale ni kuanzia bei gani vile, nataka nitie timu hapo leo usiku.
 
Mimi kuna vivian namjua ni mtu wa arusha, mweupe na mrefu. Hebu malizia jina la mwisho kwanza
 
Basi usijali.tena tunaweza kukuongeza kwenye grooms men list maana tumepungukiwa mmoja...i hop utakuwa free january mwakani!!!

yeah but alikua na dada yake huku dar mitaa ya Upanga..But kweli unamjua mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom