Namtafuta Upendo Peneza wa Maisha Plus

Status
Not open for further replies.
MTAFUTE MASOUD KIPANYA , PALE TBC atakuunganisha nae.
ile usije kumfataki binti wa watu
 
Ni muda kidogo umepita bila kujua huyu binti Upendo yuko wapi.Nina shida nae sana kuna kazi nataka kufanya nae..namfeel sana huyo binti.

Tafadhali kwa wale mnaofahamu aliko naomba mnijulishe tafadhali.

Asanete sana.

She is my sister... Wasiliana nami kwenye PM na utakuwa umempata. She is also a JF member....!!!!
 
si vizuri kutoa contact za mtu , unless umewasiliana na Pendo mwenyewe , vilevile kama Pendo mwenyewe ni mwana JF siatasoma kisha ataamua kuchukua maamuzi juu ya kuwasiliana na Gender
 
Umewahi kufanya kazi ya ukatibu muhtasi nini? You know I can't do that.........!!
 
si vizuri kutoa contact za mtu , unless umewasiliana na Pendo mwenyewe , vilevile kama Pendo mwenyewe ni mwana JF siatasoma kisha ataamua kuchukua maamuzi juu ya kuwasiliana na Gender

na inawezekana vilevile Pendo huyo akawa ndie masaki.....stuka
 
Kwani kuna ubaya gani na sisi wengine tukijua Upendo anafanya nn kwa sasa? Mnafanya siri hata vingine si vya kuficha i think she is a public figure ever since aliamua kuingia maisha p, hata mimi niko interested kujua nn anafanya kwa sasa!! Namba ya simu si vby mki-pmiana but hata gen info!!...Gender vipi ulimpata?
 
huyu binti anasoma, yuko chuo kikuu mwaka wa kwanza
she is my best friend sana
namba yake ninayo na ninaonana naye mara kwa mara
naweza kukupa lakini mpaka nijue kwanza wewe ni nani kwa jina halisi halafu nimuulize na yeye (upendo) kama yuko radhi namba yake kugawiwa.
GS niPM ukijibu maswali hayo hapo juu
 
Kwani kuna ubaya gani na sisi wengine tukijua Upendo anafanya nn kwa sasa? Mnafanya siri hata vingine si vya kuficha i think she is a public figure ever since aliamua kuingia maisha p, hata mimi niko interested kujua nn anafanya kwa sasa!! Namba ya simu si vby mki-pmiana but hata gen info!!...Gender vipi ulimpata?

Sijampata kwa kweli mpaka sasa.Hata mimi nashangaa kwanini wanaomfahamu wanamficha sana.Hebu niunganisheni tafadhali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom