Namtafuta Siraj John, muuza magari Zanzibar

Chupayamaji

JF-Expert Member
Sep 19, 2017
5,787
13,557
Namtafuta huyu jamaa alijinasibu yupo Zanzibar anauza magari.Katika uzi wake alijinadi anauza magari.Sasa namba yake napiga haipatikani.Yeyote aliye karibu naye amfikishie ujumbe nna shida naye sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom