Suzana wa Saut Sol
Member
- Jul 7, 2020
- 12
- 8
Anaitwa John Simbachawene.
Mara ya mwisho kuwasiliana nae alikuwa anafanya kazi Kigoma nafikiri ilikuwa Ikulu ndogo ya kule
Anakaa masaki na alikuwa na ana pub pia masaki.
Nimeenda kumtafuta masaki hayupo na ile sehemu ya pub naona haipo nimeulizia sana lakini pia naona nitakuwa nimechanganya mitaa.
Naomba kwa anayefahamu alipo sana tuwasiliane.
Nimepotezana naye miaka 7. Kwenye mitandao ya kijamii nimeshindwa kumpata. John kama utasoma hapa ni mimi rafiki yako kipindi huko Kigoma mimi nilikuwa Bukoba.