Namtafuta rafiki yangu tulipotezana 2002, yaweza kuwa wewe!

baada ya huu uzi lazima uje mwingine nimepata mke jf haya mnaomjua..msaidieni huyu sniper anashida..
 
Wadau namtafuta rafiki yangu kwa jina la Mariam Feruzi tulipotezana mwaka 2002 baada ya kuhitimu elimu ya sekondari Forest Hill morogoro. Alikuwa anakaa maeneo ya kabla hujafika baa ya kambarage ukiwa unatoka sokoni upande wa kushoto, kulikuwa na duka la samaki. Tafadhali mwenye mawasiliano au habari zake zozote naomba anifahamishe ntampataje, NI MUHIMU SANA.

Hilo jina siyo geni sana masikioni mwangu. Alikuwa anaishi Kilakala?
 
Mkuu, siredi za namna hii unaweza ukajikuta unatengua nyonga ndoa/uchumba/urafiki wa watu. We haya.......!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom