Sniper
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 1,954
- 612
Wadau namtafuta rafiki yangu kwa jina la Mariam Feruzi tulipotezana mwaka 2002 baada ya kuhitimu elimu ya sekondari Forest Hill morogoro. Alikuwa anakaa maeneo ya kabla hujafika baa ya kambarage ukiwa unatoka sokoni upande wa kushoto, kulikuwa na duka la samaki. Tafadhali mwenye mawasiliano au habari zake zozote naomba anifahamishe ntampataje, NI MUHIMU SANA.