Namtafuta mume wangu!!!!

sijafulia

Member
Mar 26, 2010
86
2
mmmhh waweza kuhisi ni utani ila hii ndio hali halisi dk kadhaa zilizopita
nimeona matangazo ya BANGO ...MAMA AITWAE VALERIAN KABUJE
anatangaza kupotelewa na mumewe alietoweka nyumbani kwao mwaka 2005
kwa kumwacha akiwa na mimba na watoto 4..mumewe anaitwa....Gkabuje
Huuuuuu natumaini ajaenda kwa nyumba ndogo maana dar nayo ina mambo yao!!!
 
Anaitwa baba Chipumu, kapotea masika tatu sasa, ukimuona mwambie nimejifungua mtoto wa kiume anaitwa Eguye ana fananna nae ile mbaya!
 
Haya majina kama ya Kagera vile! Hivi 'vituko' vimeshamiri sana Kagera
 
mmmhh waweza kuhisi ni utani ila hii ndio hali halisi dk kadhaa zilizopita
nimeona matangazo ya BANGO ...MAMA AITWAE VALERIAN KABUJE
anatangaza kupotelewa na mumewe alietoweka nyumbani kwao mwaka 2005
kwa kumwacha akiwa na mimba na watoto 4..mumewe anaitwa....Gkabuje
Huuuuuu natumaini ajaenda kwa nyumba ndogo maana dar nayo ina mambo yao!!!
ia

Umefulia:rolleyez:
 
hata siku moja mume hapotei, atarudi tu!

inawezekana tukaona kama utani ..lakini dunia imebadilika sana
Maybe kaenda kwa nyumba ndogo .ooh maharamia walishamteka na kummalizia huko yote yanawezekana
 
inawezekana tukaona kama utani ..lakini dunia imebadilika sana
Maybe kaenda kwa nyumba ndogo .ooh maharamia walishamteka na kummalizia huko yote yanawezekana

Madame FL1, madamu huyu kaja hapa kumtafuta, je inawezekana hapa kuna mifano hiyo ya maharamia:drum:
 
Wakati mwingine alipata ajali na akafa bila kutambulika na akazikwa na manispaa.Jambo lolote laweza kutokea.
 
nipo nae hapa mlimani sity tunafanya kazi kwenye kampuni ya kufanya usafi......!
kumbe jamaa kaoa eeh?
(maanake huku KAOLEWA)
 
mungu takusaidia utampata adamu wako.ubavu ni ubavu uliponyofolewa pakipotea huna budi kupasaka~~~~~!!!!!!!!!!:A S clock:
 
nipo nae hapa mlimani sity tunafanya kazi kwenye kampuni ya kufanya usafi......!
kumbe jamaa kaoa eeh?
[COLOR=Gray[B]](maanake huku KAOLEWA)[/QUOTE[/COLOR][/B]]

Geoff hapo kwenye red unamaanisha kweli ama unatania!! jamani kupotelewa na usingizi ni tabu acheni utani na hapo kwenye blue ni kuolewa kwa kumaanisha ajira anayo ifanya ndio imemuowa ama amewekwa ndani na sugar mama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom