Namtafuta mkulima mzoefu wa migomba kwa kumwagilia

Kwenye kilimo.hakuna uzoefu we anzac tu kikubwa usiweke ntaji mkubwa nanda pale miaugusugu
Nashukuru sana kwa ushauri. Nina migomba kama 20 tu kwa sasa japo haitoshi itabidi niitumie hivyo hivyo kujaribu soko.

Misugusugu kuna nini? Nalisikia sikia jina tu.
 
Kwa atakae hitaji miche ya migomba basi akaribie SUA,Horticulture.
Tuna aina tofauti tofauti za migomba na bei yetu ni sh 3500,ukichukua kuanzia miche 50 unapata discount
0719527062/0757056472
 
Naomba kujua migomba inakubali kukua na kuzaa sehemu yenye ardhi ya maji maji?
Ardhi zenye maji maji zimetofautiana sana kuanzia wingi wa maji hadi aina ya udongo uliopo kwenye maji. Maji mengi sana hayafai kwa aina nyingi sana za mimea. Kwenye hiyo ardhi yako ni lazima uijaribu kwa kupanda mgomba na usubiri matokeo
 
Members natumain ni wazima.

Namtafuta mkulima wa ndizi kibiashara na mzoefu vya kutosha hasa shamba la umwagiliaji tuweze kubadilishana uzoefu na kuboresha mashamba na kipato kwa ujumla.

Mfano aina za migomba na changamoto na uzalishaji wake.

Masoko yaliopo na mahitaji yake, gharama husika na namna ya kuzikabili kuzipunguza n.k.

Kiti cha mbele kabisa mkuu, mimi pia niko na wito wa hiki kilimo.

Naambiwa Morogoro maeneo ya mbingu ndio mahala sahiii.

Nasubiri kujifunza

Nami naanza hiki kilimo pwani. Sina mwenye experience kubwa sana ninayemjua bali nimeanza kwa kuchunguza soko

Anzieni hapa
 
Sina hakika kama hii biashara ina return ya maana sana. Labda ingia field uulize wahusika, wengi wanalima for fun.
Ndizi ndo biashara ya kufanya unavuna kila siku haina cha msimu ukipata sehemu yenye ardhi nzuri ukapika ata heka tatu njaa ndogondogo unasahau.
 
Kinachotakiwa ni usimamizi wa karibu mno - kilimo cha migomba kina soko kubwa sababu walaji ni wengi mno.

NB: Kilimo cha kuweka kijana shambani afu wewe unabakia mjini lazima kuna siku upate msiba tena mzito, jitahidi mno uwe karibu na sehemu uliyowekeza.
 
Ndizi ndo biashara ya kufanya unavuna kila siku haina cha msimu ukipata sehemu yenye ardhi nzuri ukapika ata heka tatu njaa ndogondogo unasahau
Unaweza kuongelea kidogo about soko lake lilivyo?
 
Kinachotakiwa ni usimamizi wa karibu mno - kilimo cha migomba kina soko kubwa sababu walaji ni wengi mno.

NB: Kilimo cha kuweka kijana shambani afu wewe unabakia mjini lazima kuna siku upate msiba tena mzito, jitahidi mno uwe karibu na sehemu uliyowekeza.
Mnazipeleka kwenye masoko makubwa au? Maana kwa magenge ukiwa na mikungu mingi sio rahisi kusupply maana kila genge lina mkungu mmoja tu.
 
Back
Top Bottom