Namtafuta kaka yangu-Lugaba Kasubu Mlanda Wa Mwanza Igoma

cement

cement

JF-Expert Member
581
195
Wakuu namtafuta br wangu tumepotezana tangu 2009 mpaka leo ni msukuma wa sengerema lkn maisha yake yalikuwa Igoma Mwanza Kwa bibi yetu hakuna ndugu wala mtu yoyote mwenye taarifa zake kwamba yupo wapi mara ya mwisho alikuwa anaishi Dar kwa bro mikoa aoiyopendelea kuishi ni Arusha,Mwanza,Singida, na Dar es salaani mtu mzm miaka ni 37,mweusi na sio mrefu wa mfupi ni wa wastani plz ambaye amepata kusikia taarifa zake ani pm tuwasiliane zaidi yeye ni mhimu sana kwa familia wazazi kila cku wanalia pia hata mke wake hakuna anayejua tusaidieni
 

Forum statistics


Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom