Namtafuta Issa Kiwango

Ungesema kuwa mlionana Kigoma maybe Mwanga, Majengo, Ujiji, Katubuka, Mwandiga na yeye alikuwa mchezaji ama tulikutana nae wakati tunafanya biashara.Atleast ungetoa wasifu kidogo maana huena hao akina Issa Kiwango wapo 20 Kigoma sasa bila kuwekea nyama kidogo lazima utamkosa tu
 
Alikuwa Auditor nafikiri jina la kati ni Mshili. Anatoka Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom