Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,373
- 54,754
Sasa huyo ni mdada au mama? Acha kudhalilisha Wamama wa watu.
Genye nomaaa, kuna Fundi mmoja huko mkoani tabora alimuua mwanajeshi sababu ya genyeee.Genye zinaweza kukufanya ukafanya mambo ya ajabu kabisa!!
Naunga mkono hoja. Umekosea sana