Namtafuta Dominica Ngaa

Rodelite

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
320
12
Tulikuwa tukifanya mazoezi pamoja pale YMCA karibu na kanisa la St. Alban Dar....Yeyote anayemfahamu......naomba contact zake.
 
Sasa ulikuwa unafanya nae mazoezi lakini hujaeleza lini mwaka gani vitu kama hivyo naona hujasema sasa sisi tutaelewa vipi???
 
Sasa ulikuwa unafanya nae mazoezi lakini hujaeleza lini mwaka gani vitu kama hivyo naona hujasema sasa sisi tutaelewa vipi???

Mara ya mwisho kumwona ilikuwa mwaka 1994....pale kwa Sensei Dudley Mawalla....Dominica alikuwa akiishi Ukonga wakati huo.
Hatujapata kuonana tena.
 
Sasa ulikuwa unafanya nae mazoezi lakini hujaeleza lini mwaka gani vitu kama hivyo naona hujasema sasa sisi tutaelewa vipi???

Mzeee mbona unauliza kwa hasira hivyo kama wewe ni mdau si useme tu sasa ni mkeo asimtafute......lol just joking
 
Back
Top Bottom