Namtafuta Director wa TIC Geoffrey Mwambe

Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,466
2,860
Wanabodi,
On serious note, nimeona tangazo likizunguka kupitia social networks, TIC Director Geoffrey Mwambe anatafuta Watanzania kusaidia kubangua korosho.

Nimejaribu kutafuta contacts za Director Mwambe kupitia TIC website bila mafanikio. Mwenye contacts za mhusika pls, nitumie kupitia fmatuja@hotmail.com
Au kama mhusika huwa anachunguliaga maramara moja moja naomba tutafutane.'

Kuna uwezekano wa kupata machinery za kubangua korosho na kufanya packaging zenye capacity ya kubangua 200kgs/hr to 1.2tons/hr.

Kwa pamoja tuna fursa ya kuchangia kuijenga Tanzania kwa vitendo
 
Nilikuwa namtafuta kwa suala la uwekezaji.
Sio personal issue.
Nakushukuru kwa taarifa na hongera kwake kuingia mjengoni.
 
Back
Top Bottom