Binti Kuwani
Member
- Mar 9, 2019
- 15
- 18
Asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa,huyu Daudi Kusekwa itakuwaje?Au ilikuwa kibwagizo?Maana usije ukawa unatuandalia fumanizi.
Labda mavi ya kale hayanukiKila uliyempa penzi zamani alikuwa anaweka kiapo?
Yani una mtoto tayari lkn hutaki sex mpk kiapo
Mungu akupe hitaji la moyo wako
Hahahahaaa! Kwenye kamusi na maandishi yake lazima ipo.Kwani unataka mfundishane kuandika?una K ?
Vijana hawaaminiki siku hizi.Akisoma kurasa tu analala mbele.Kila uliyempa penzi zamani alikuwa anaweka kiapo?
Yani una mtoto tayari lkn hutaki sex mpk kiapo
Mungu akupe hitaji la moyo wako
Sasa,huyu Daudi Kusekwa itakuwaje?Au ilikuwa kibwagizo?Maana usije ukawa unatuandalia fumanizi.
Ndio masharti ya wanawake wanaojiona wako perfect.Kila uliyempa penzi zamani alikuwa anaweka kiapo?
Yani una mtoto tayari lkn hutaki sex mpk kiapo
Mungu akupe hitaji la moyo wako
Hivi kwanini huwa mnapenda kuwahukumu watu kwa past zao? Kwani haiwezekani kuamua kufuata njia iliyo sahihi?Kila uliyempa penzi zamani alikuwa anaweka kiapo?
Yani una mtoto tayari lkn hutaki sex mpk kiapo
Mungu akupe hitaji la moyo wako
Yaani mimi kigezo cha kwanza tu ninetoka nduki japo nimekuja mbio baada ya kuona bandiko bado jipya. Nilivyosoma yaliyomo.....Vijana hawaaminiki siku hizi.Akisoma kurasa tu analala mbele.
Hivi kwanini huwa mnapenda kuwahukumu watu kwa past zao? Kwani haiwezekani kuamua kufuata njia iliyo sahihi?
Be you.
Ni kawaida ya binadamu hata mimi nmesha hukumiwa kwa mambo yaliyopita.
Unavuna ulichopanda.
Ndio masharti ya wanawake wanaojiona wako perfect.
Na mtoto juu aafu uletewe masharti mengi hivyo.
Kama vile unapata kitu sealed!!
Sent using Jamii Forums mobile app