Namtafuta Dada Kwa Jina: Phoebe Achileka

Nsololi

JF-Expert Member
Mar 8, 2007
298
80
Nilipotezana naye tangu mwaka 1993. Ningependa kuwasiliana naye. Nitashukuru kama kuna mtu anamfahamu huyu dada na akaniwezesha kuwasiliana naye. Alikuwa JKT Mlale, Ruvumba mwaka 1992/93 operation ya vyama vingi. Baba yake aliwahi kuwa mkuu wa wilaya (nadhani Nzega na za mikoa ya kusini mwa Tanzania - aidha Ruvuma, Lindi au Mtwara).

Contact: 0719427944
 
Acheni kutundika majina ya watu humu kwa maslahi binafsi.

Kama una hekima ya kutundika jina la mtu kwa kisingizio cha kumtafuta, mtafute kwa jina lako halisi. Sio unatumia jina la nyuma ya pazia na namba ya simu inayoweza kuwa unaijua wewe tu (wabongo siku hizi shurti kwa simu mbili au tatu zenye namba tofauti)

Kama unashida ya kumtafuta mtu andika barua RADIO ONE, wana kipindi cha kutafutana.
 
Na wewe kama hutafutwi wewe inakuhusu vipi? Acha kuambia watu nini cha kufanya na nini cha kutokufanya.
 
Kwani kuna ubaya gani kumtafuta mtu hapa? Mimi tena napendekeza kabisa lianzishwe jukwaa la hili suala. Na huyu jamaa wa watu aliyeweka hili tangazo mbona sio wa kwanza kufanya hivi hapa, au ulikuwa 'mnyonge' fulani ndo umshukie?
 
Kweli kabisa nsumba wane. Hakuna ubaya kutafutana hapa. Watu wanataka kujificha ficha utadhani wanafanya mambo haramu. Gotdamnit

Na mimi naunga mkono kuanzishwa jukwaa la kutafutana. Kama hutaki kushiriki huko usiingie na usiwanyime wenzako fursa ya kufanya hivyo kwa vile tu wewe hukubaliani na hilo.
 
kweli kabisa nsumba wane. Hakuna ubaya kutafutana hapa. Watu wanataka kujificha ficha utadhani wanafanya mambo haramu. Gotdamnit

na mimi naunga mkono kuanzishwa jukwaa la kutafutana. Kama hutaki kushiriki huko usiingie na usiwanyime wenzako fursa ya kufanya hivyo kwa vile tu wewe hukubaliani na hilo.

wana jf, hili ninaliunga mkono na naomba lidumu. Ila naomba tusiwachafue watu kupitia hili. Mimi binafsi limenisaidia sana maana niliandika namtafuta dada mmoja thread iliyofungwa jana, baada ya nusu saa tu nikapata taarifa kuwa yupo tokyo japan.
Sasa jamani hamuoni uzuri wake?
Note: Tusitumie huu mwanya kuwachafua wenzetu, mtafute mtu kwa mazuri.
Radio one sio effective kama jf.
 
this is tooo much
hapa siyo baraza la kutafuta waliopotea.
mbona hamutafuti maadili ya viongozi yaliyopotea? mbona hamtafuti viongozi bora? acheni hizo bwana
 
ahahahaha...mie naunga mkona hoja ya kuwa na special jukwaa la kutafutana kwa waliopoteana..lakini tuwe makini isijekuwa tunaanzisha another ze-utamu. maana unaweza kuta hata picha za watu zinzwekwa hapa na miji-comment ya ajabu ilojaa mi-jichuki binafsi inaporomoshwa.
 
this is tooo much
hapa siyo baraza la kutafuta waliopotea.
mbona hamutafuti maadili ya viongozi yaliyopotea? mbona hamtafuti viongozi bora? acheni hizo bwana

Katika kutafutana huku ndio hata viongozi watapatikana pia.
Maadili yaliyopotea hayatafutwi kivile bwana.
Uovu wa viongozi utajitafuta na kujidhihirisha wenyewe. TIME WILL TELL BWANA, si unashuhudia mwenyewe wanaanza kujiumbua?
Thread yenyewe ni ya URAFIKI, MAPENZI NA MAHUSIANO. Tusipotafutana hapa tufanyeje? Siasa ina ya kwake, Uchumi una yake, Celebrities wana yao sasa????????????
 
Na wewe kama hutafutwi wewe inakuhusu vipi? Acha kuambia watu nini cha kufanya na nini cha kutokufanya.

NYANI acha kuwa kama NYANI wa ukweli ukweli wa msituni bwana, mimi mwenyewe hii tabia ya kutafuta watu kwa majina ya ASILI imenikera sana na inaendelea kunikera sana. Kwa sababu mtafutaji anatumia jina lake la kapuni. Hivi wewe NYANI utajisikiaje kukuta jina la mkeo au mumeo limepachikwa hapa halafu mtafutaji anasema kuwa huyo alikuwaga DEMU wake kipindi wako chuo na ameshakula sana hiyo ishu ndio maana anamtafuta ili waendeleze LIBENEKE!! Tuache hii tabia jama sio nzuri mtavunja NDOA za watu na ADHABU YA KUVUNJA NDOA YA MTU KWA MAKUSUDI NI SAWA NA KUVUNJA MSIKITI AU KANISA!!!
shauri yenu
 
Nilipotezana naye tangu mwaka 1993. Ningependa kuwasiliana naye. Nitashukuru kama kuna mtu anamfahamu huyu dada na akaniwezesha kuwasiliana naye. Alikuwa JKT Mlale, Ruvumba mwaka 1992/93 operation ya vyama vingi. Baba yake aliwahi kuwa mkuu wa wilaya (nadhani Nzega na za mikoa ya kusini mwa Tanzania - aidha Ruvuma, Lindi au Mtwara).

Contact: 0719427944
Nasikitika kukutaarifu kuwa huyo dada alishafariki dunia mwaka 2001,Mungu amlaze mahali pema peponi, pole sana ndugu!!
 
Nasikitika kukutaarifu kuwa huyo dada alishafariki dunia mwaka 2001,Mungu amlaze mahali pema peponi, pole sana ndugu!![/QUOTE]

UNA UHAKIKA NA ULICHOKIANDIKA HAPA LAKINI NDUGU YANGU??? VINGINEVYO JF ANGALIA TUSIJE ANZA ZUSHIANA VIFO UMU NDANI, SIO FRESH

IN ADDITION, NDIO MAANA NILISEMA KUWEKA MAJINA KAMILI UKU KUTALETA BALAA, EBU ONA SASA WATU WANAKUMBUSHWA MACHUNGU YA MPENDWA WAO!!!
 
Mimi naona labda tufanye kama livyofanya Nyani- kama unamjua mtu anayetafutwa unamtumia PM mtafutaji, moderators waondoe possibility ya watu kupost chochote kwenye hizi threads.
 
Mimi naona labda tufanye kama livyofanya Nyani- kama unamjua mtu anayetafutwa unamtumia PM mtafutaji, moderators waondoe possibility ya watu kupost chochote kwenye hizi threads.
very wise thinking mkulu.
I second the idea
 
Nasikitika kukutaarifu kuwa huyo dada alishafariki dunia mwaka 2001,Mungu amlaze mahali pema peponi, pole sana ndugu!![/QUOTE]

UNA UHAKIKA NA ULICHOKIANDIKA HAPA LAKINI NDUGU YANGU??? VINGINEVYO JF ANGALIA TUSIJE ANZA ZUSHIANA VIFO UMU NDANI, SIO FRESH

IN ADDITION, NDIO MAANA NILISEMA KUWEKA MAJINA KAMILI UKU KUTALETA BALAA, EBU ONA SASA WATU WANAKUMBUSHWA MACHUNGU YA MPENDWA WAO!!!
Nisingeandika kama nisingekuwa na uhakika,ata hivyo ushauri wa Kana Ka Nsungu ni mzuri na nimeukubali!!
 
Ahsante sana Tuntu kwa taarifa.
Uwiano Maalum: Sikulaumu kwa mchango wako kwani natambua kuwa penye zaidi ya kichwa kimoja lazima utarajie mitazamo tofauti. Kila mtazamo una uzuri na ubaya wake inategea tafsiri na reaction ya mhusika.

Ahsanteni kwa Wana JF wengine mliochangia.

Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema poponi. Amina
 
Ahsanteni sana wana JF. Mwana JF mmoja ameweza kuwasiliana nami kwa simu na amenipatia simu ya mdogo wake huyo dada. Ahsanteni sana kwani shida yangu imesha pata jawabu. Na ahsanteni tena kwa wale wengine wenye mtizamo tofauti, lakini yote hii inaonesha kuwa JF ni mahala pa kupata mitizamo mbadala ambayo ni muhimukwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla.

Ahsanteni.
 
Naomba moderator aifunge post kwani nimepata nilichokuwa nahitaji. Nimewasiliana na mdogo wake huyo dada (marehemu) na amenithibitishia kuwa kweli alishafariki dunia.
 
Back
Top Bottom