Habarizi za kuamka wana JF, sijui kama ni jukwaa husika ila naomba msaada kwa yeyote mwenye kujua huyu mtu yupo wapi.
Ni kijana aliyekuwa anasoma shule ya secondary Ilboru Arusha alimaliza kidato cha 4 mwaka 2004, alikuwa ni mzaliwa wa Mwanza, kwa bahati mbaya kipindi tunamaliza shule hatukuwa na mawasiliano ya simu, alienda kidato cha V sikuweza kufahamu alipangiwa shule gani na mm nilikuwa nasoma shule ya secondari Ngateu iliyopo Arusha.
Na mm nilibahatika kwenda kidato cha V shule ya Bishop During High hapohapo mkoa wa Arusha, from there tulipotezana sijawahi kujua yuko wapi, kwa yeyote mwenye kujua alipo tafadhali tusaidiane, alikuwa na rafiki zake wa karibu ambao ni Majaliwa pamoja na (Ngosha wane) alikuwa anapenda kujiita hivyo jina la utani.
Natanguliza shukrani zangu za dhati na polen kwa usumbufu.