Namtafuta Castory Paul aliemaliza Ilboru Secondary mwaka 2004

TrueLove

Senior Member
Jan 12, 2012
124
37
Habarizi za kuamka wana JF, sijui kama ni jukwaa husika ila naomba msaada kwa yeyote mwenye kujua huyu mtu yupo wapi.

Ni kijana aliyekuwa anasoma shule ya secondary Ilboru Arusha alimaliza kidato cha 4 mwaka 2004, alikuwa ni mzaliwa wa Mwanza, kwa bahati mbaya kipindi tunamaliza shule hatukuwa na mawasiliano ya simu, alienda kidato cha V sikuweza kufahamu alipangiwa shule gani na mm nilikuwa nasoma shule ya secondari Ngateu iliyopo Arusha.

Na mm nilibahatika kwenda kidato cha V shule ya Bishop During High hapohapo mkoa wa Arusha, from there tulipotezana sijawahi kujua yuko wapi, kwa yeyote mwenye kujua alipo tafadhali tusaidiane, alikuwa na rafiki zake wa karibu ambao ni Majaliwa pamoja na (Ngosha wane) alikuwa anapenda kujiita hivyo jina la utani.

Natanguliza shukrani zangu za dhati na polen kwa usumbufu.
 
Huyu jamaa tulisoma naye kidato cha v na vi Mara Sec lakini halipata matatizo tukiwa kidato cha 6 hivyo hakumaliza shule.
 
TrueLove wewe ni msichana? Yap najua ni jinsi gani unavyo-feel ukim-miss mtu hope utampata tu bahati mbaya nilimaliza 2001 so simjui huyo jamaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
we chalii nahisi tulikua class moja...hahahah

Huyu atakua labda ni yule Anna muuza duka lile la kontena pale Rungwe....au atakua mtoto wa Mama Tony

Hahahahaaaaa inawezekana tulimaliza Class moja,We ndio ulipata A Tisa au A 10? Hahaaaa mie ndio nilikuwa nimeweka Bill ya muhula mzima canteen ya dereva pale opposite na ilboru lodge maana ile kande nyama na ugali wa panya ulikuwa haupiti,Da sijaenda long tym xul langu sijui kama anna bado anauza maana kuna watu pale ulikuwa uwakosi dukani wakipiga nae story au mabrazameni kibao wanatoka Room 6 au Kibo wanaenda kuuza nyago Rungwe lol
 
hahahaaaa....! Anna aliondokaga kitambo sana. nadhani ni mwaka 2003. Baadae duka alikodishiwa uncle john akawa analipa kodi shule.
 
ungetoa japo wasifu yupoje...nilikaa na mshkaj mmoja hivi UDSM hall 1 anaitwa kwa jina hilo. ni sharobaro flan mfup kias na mwembamba kidogo...advance i guess alisoma mkwawa, pale yeye alikuwa akichukua arts i guess!ndo huyo tukupa details zaidi?
 
we chalii nahisi tulikua class moja...hahahah

Huyu atakua labda ni yule Anna muuza duka lile la kontena pale Rungwe....au atakua mtoto wa Mama Tony

Dah kaka umenikumbusha mbali mno, nakumbuka kipindi hicho mtu ulikuwa unaenda dukani hata kama huna cha kununua, kisa umwone Anna alivyo. Halafu alikuwa anawatega mpaka kina Msung* mzee ukienda dukani tu huchelewi kubambikiziwa kosa.
 
Habarizi za kuamka wana JF, sijui kama ni jukwaa husika ila naomba msaada kwa yeyote mwenye kujua huyu mtu yupo wapi.

Ni kijana aliyekuwa anasoma shule ya secondary Ilboru Arusha alimaliza kidato cha 4 mwaka 2004, alikuwa ni mzaliwa wa Mwanza, kwa bahati mbaya kipindi tunamaliza shule hatukuwa na mawasiliano ya simu, alienda kidato cha V sikuweza kufahamu alipangiwa shule gani na mm nilikuwa nasoma shule ya secondari Ngateu iliyopo Arusha.

Na mm nilibahatika kwenda kidato cha V shule ya Bishop During High hapohapo mkoa wa Arusha, from there tulipotezana sijawahi kujua yuko wapi, kwa yeyote mwenye kujua alipo tafadhali tusaidiane, alikuwa na rafiki zake wa karibu ambao ni Majaliwa pamoja na (Ngosha wane) alikuwa anapenda kujiita hivyo jina la utani.

Natanguliza shukrani zangu za dhati na polen kwa usumbufu.

Mkuu umenikumbusha mbali sana. huyu jamaa tulisoma naye kidato kimoja. Rafiki zake wengine ni kina Msadiko, Raimos, Majaliwa, Bujunju na wengineo. Nina namba ya Bujunju lakini haipatikani kwa muda... ngoja nikutafutie contacts then nitaku PM.

Asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom