Namtafuta baba yangu mzazi Kutarasa/Saidi Mbarali

kevoo 27

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
400
379
Naitwa Fatna kwa sasa nipo Tanga, mama yangu anaitwa Mariam Mgaya. Kwa Maelezo niliyopewa na mama kuhusu baba yangu haya "Baba yangu alikuwa anajulikana kwa majina KUTARASA MBARALI au SAIDI MBARALI, kipindi wanakutana na mama yangu, mama alikuwa anafanya kazi counter kwenye bar ya kaka yake na ndy alikuwa anasimamia bar mpya manzese karibu na msikiti wakione na kit kat iliyopo manzese kwa mfuga mbwa, SAIDI alikuwa anafanya kazi duka la vioo Lmd, kabila ni mngoni wa namtumbo alikuwa amepanga kwenye nyumba za akina Aziza karibu na dodoma bar Manzese Dar es salaam"
Hicho ndy ninacho kijua mpk sasa, kwa yoyote Mwenye kujua

majina tajwa hapo juu naomba tuwasiliane DM au kwa namba 0628 994 604 au 0672 38 15 89
(Sent as received)
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Utampata Ama Maelezo Yenye Kukupa Mwanga
 
Pole ndugu jaribu kuingia facebook serch majina hayo ya kina kutarasa mbalari au kutarasa au mbalari kisha waombe urafiki baada ya hapo utachat nao na kuangalia details zao

Pia jaribu kumuuliza mama tarifa zingine mfano aliposoma shule ya msingi huyu mzee wako.
 
Hapo chini umemalizia kwa kuandika Sent as received,ina maana anayemtafuta baba yake ni mtu mwingine na sio wewe?
 
Back
Top Bottom