Namsikiliza Jakaya

Mkimbizi

JF-Expert Member
Aug 23, 2008
222
34
Niko namsikiliza nisiyemtambua na kumpenda. Simkubali na kumjali. Namsikiliza huku nakitamani kurushia chupa hii TV. Kweli zama zenu CCM ziko ukingoni. Sasa na huyo mama Spika alikuwa ananikera toka naibu. Naionea huruma TV yangu.
 
Hii chuki sio ya kidini wala kikabila. Ni chuki ya kutowajibika, wizi, upendeleo, matumizi mabaya, na tofauti ya maskini na tajiri.
 
Alichokiongea sasa kuhusu SERIKALI YA CCM kimeniongezea chuki. Nisamehe mod, https://jamii.app/JFUserGuide U CCM
 
Hii chuki sio ya kidini wala kikabila. Ni chuki ya kutowajibika, wizi, upendeleo, matumizi mabaya, na tofauti ya maskini na tajiri.

hahaha hiyo kitu ipo kwenye nafsi yako buddy, udini ukikujaa unajua unashindwa kuvumilia
 
Ghadhabu yangu nazani inawazidi nyie wooote...maaana huyu kilaza anaongea vitu bila fikira (ana ufinyu wa fikira). Most of the time huwa napima mazungumzo ya kikwete na nimegundua kwamba huyu jamaa ana ufinyu wa fikira....Hebu Ona alichosema hapa
'Tumefanya vizuri sana upande wa michezo,tumeleta makocha wa kizungu kufundisha timu zetu..'...Hivi kweli michezo ni mpira tu ? hapa issue ni kuweka policy nzuri kuhakikisha michezo yoote inainuka.....Hii ni akili mgando kabisa....
 
Niko namsikiliza nisiyemtambua na kumpenda. Simkubali na kumjali. Namsikiliza huku nakitamani kurushia chupa hii TV. Kweli zama zenu CCM ziko ukingoni. Sasa na huyo mama Spika alikuwa ananikera toka naibu. Naionea huruma TV yangu.

Poleni wana JF wote tunaokerwa na huyu bin-dam, japo kuwa bado nipo oficini nasikia kuchefukwa roho, ningekuwa home ningetapika, vp CHADEMA wapo mjengoni? Taarifa tafadhali:israel:
 
Wametoka nje......Niko happy na TV nimezimilia mbali huko....inanichefua....
 
Ghadhabu yangu nazani inawazidi nyie wooote...maaana huyu kilaza anaongea vitu bila fikira (ana ufinyu wa fikira). Most of the time huwa napima mazungumzo ya kikwete na nimegundua kwamba huyu jamaa ana ufinyu wa fikira....Hebu Ona alichosema hapa
'Tumefanya vizuri sana upande wa michezo,tumeleta makocha wa kizungu kufundisha timu zetu..'...Hivi kweli michezo ni mpira tu ? hapa issue ni kuweka policy nzuri kuhakikisha michezo yoote inainuka.....Hii ni akili mgando kabisa....

Huyo nae hana jipya, michezooo michezooo, mbona hatuambii mafisadi watachukuliwa hatua gani? Michezo akacheze na familia yake.:nono:
 
Ghadhabu yangu nazani inawazidi nyie wooote...maaana huyu kilaza anaongea vitu bila fikira (ana ufinyu wa fikira). Most of the time huwa napima mazungumzo ya kikwete na nimegundua kwamba huyu jamaa ana ufinyu wa fikira....Hebu Ona alichosema hapa
'Tumefanya vizuri sana upande wa michezo,tumeleta makocha wa kizungu kufundisha timu zetu..'...Hivi kweli michezo ni mpira tu ? hapa issue ni kuweka policy nzuri kuhakikisha michezo yoote inainuka.....Hii ni akili mgando kabisa....

Wewe ulitaka aseme nini wakati Makamba ndie kamuandikia??? Haya ya kawaida tu kwa rais ambae hajui kufikiri na washauri wake na waliomzunguka ndo usiseme kabisa.
 
Ipo siku tunaisubiri. Siku ambayo hakuna atakayeamini(mafisadi wanaojifanya hii nchi yao)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom