Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
Diamond akiojiwa na mboni katika kipind cha mboni show kinachorushwa na EATV amesema kwamba anamshukuru sana wema sepetu kwa kushiriki kuandika mashairi ya nyimbo yake mpya nataka kulewa.
ametolea mfano maneno kama kumbe mjinga ni mimi ninatunza wengine wanachukua,mapenz yananifanya nilie kama mtoto,nikamvisha na pete kwa kumuoa kumbe mwenzangu ...... kwa waliosikiliza nyimbo hio watajua nini nasema.
pia aliulizwa ataje wanawake waliomsaidia sana wa kwanza kabisa akasema mama yake,wa pili akasema wema sepetu,watu wakashangilia sana harafu akafikiria sana nakusema pia si vibaya nikimshukuru jokate.
Binafsi namkubali sana Diamond kwa kuwa muwazi na kwa jitihada anazofanya