Namshukuru Mungu nimetimiza ndoto zangu za kufungua ofisi ya CHADEMA-M4C...

Nzuri,,unafuata nyayo za Thomas Nyimbo Ilembula kule,this way CDM na sumu ya mabadiliko kwa ujumla itasambaaa sana
 
Kiukweli nami ni m4c damu.umenifumbua macho yakufungua ofic
ya m4c kijijin kwetu.sijajua kamaipo au la maana sijaenda mwaka huu.
kama kunamtu yupo huko mufindi kusini kata itandula kijiji kinegembasi,
anijuze kama ipo au la.nakama kunamakanda humu kutoka huko mni pm
ilituungane kwapa1 kuikomboa nchi yetu.m4c 4rever.
 
Mkuu namba yangu ntatoa sina makuu mimi ni Voda hiii mkuuu 0755951957
 
Hongera sana kamanda. Hakika usichoke kueneza M4C huko ulipo. Nami muda si mrefu Mbagala kwa Mara ya kwanza ITATIKISIKA.. Jiandaeni ndugu Wajumbe.
 
Umenipa hamasa sana wacha namimi niangalie uwezekano wa kujenga ofisi moja kijijini kwetu, wana bendera tu hawana ofisi, kazi nzuri mkuu!
 
Pamoja na hilo kazi iliyopo ni kuhamasisha na kuongeza wanachama. HONGERA SANA.
 
Back
Top Bottom