Namshukuru mungu mwanangu anakua katika afya njema!

Warren T

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
664
409
Leo hii ikiwa ni birthday ya mwanangu anaeonekana kwenye picha naomba nitumie fursa hii kumuombea afya njema kiakili, kimwili na kiroho, mungu amtangulie katika safari ndefu aliyo nayo katika maisha haya yasiyotabirika!
d3dd3cdd4876315ac9df7dc90da38680.jpg
 
Back
Top Bottom