NAMSHAURI WAZIRI MKUU kutubu kwa UONGO BILA HOFU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NAMSHAURI WAZIRI MKUU kutubu kwa UONGO BILA HOFU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtaka Haki, Feb 28, 2011.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baada ya kusoma majibu ya MH Lema. Ninamuomba Waziri mkuu ailinde heshima yake na heshima ya Bungre kwa kuomba msamaha juu ya kusema uongo.
  Katika mambo yote 10 sioni ni namna gani hata mtoto wa darasa la tatu atashindwa kujua kuwa Waziri alipitiwa.

  NAJUA KAMA MWANADAMU KILA MTU ANA MAPUNGUFU YAKE. Nakuomba uombe radhi na ruhusu uchaguzi kurudiwa.
   
 2. xhuma

  xhuma Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 22, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee muongo sana, sijui inakuwaje kiongozi wa nchi anasimama bungeni nakuongea mambo asiyokuwa na uhakika nayo? sure, aombe msamaha, next tym asiropoke achunguze vitu!
   
Loading...